Habari zenu wana JF.
Nina eneo jirani kabisa na vyuo na hapo kunahuhitaji mkubwa wa vyumba vya kulala. Nina ndoto za kujenga hostel yenye uwezo wa kurudisha pesa haraka lakini changamoto niliyonayo ni ukosefu wa pesa za kutosha.
Tafadhali naomba ushauri kwa ili kwani ninashindwa nianzie wapi?
=======
April 26, 2015:

Habari za muda huu wakubwa zangu,
Mimi nilikua na wazo la kuanzisha biashara ya hostel kwa ajili ya wanafunzi wa chuo, na ninayo target yangu tayari. Yani watu wangu wa karibu huwa wananiita day dreamer kutokana na kuwaza mambo makubwa kuliko umri wangu.
Sasa mimi ninaomba ushauri wenu; ni wapi naweza pata mkopo wa kama 40ml? Maana nimezunguka benkiya NMB na CRDB wakasema ni lazima niwe mfanya biashara
Naombeni msaada wenu, kama nitapata msaada. Na baba yangu amekubali kuniwekea kiwanja ambacho kina nyumba tayari kama security. Any help pliz!!