Biashara ya Hostel: Mbinu, Faida na changamoto zake

Hata mimi nyumba yangu huku zanzibar ipo tunguu, karibu na chuo cha utumishi wa Umma na utawala, nimejaribu kuwa dadisi wanafunzi wa chuo, chumba wanakodi laki moja, na chumba watu 4, nyumba yangu 4 bedroom, so nyumba itachukua 16 people, nahisi ni over load.

Nahitaji 15 milioni kumalizia ili niweze kumalizia na kupangisha
 
Habari za muda huu wakubwa zangu,

Mimi nilikua na wazo la kuanzisha biashara ya hostel kwa ajili ya wanafunzi wa chuo, na ninayo target yangu tayari. Yani watu wangu wa karibu huwa wananiita day dreamer kutokana na kuwaza mambo makubwa kuliko umri wangu.

Sasa mimi ninaomba ushauri wenu; ni wapi naweza pata mkopo wa kama 40ml? Maana nimezunguka benkiya NMB na CRDB wakasema ni lazima niwe mfanya biashara

Naombeni msaada wenu, kama nitapata msaada. Na baba yangu amekubali kuniwekea kiwanja ambacho kina nyumba tayari kama security. Any help pliz!!
Hiyo hela haitoshi kujenga hostel
 
Mil 40 unajenga hostel?
 
angalia kama kutakua na uhakika wa wanachuo, SAUT kila siku mabank yapiga mnada hostels hakuna wa kuwapangishia nyingine zimefungwa nyingine wanakaa raia wa kawaida kwa bei sawa na bure.
 
NATAFUTA DEEP FRYER INAYOTUMIA GESI KWA ANAYEFAHAMU ZINAKOPATIKANA ANIJUZE

NINAHITAJI KWAAJILI YA KUCHOMEA CHIPS

ANAYEJUA PLIAZE TUPEANE CONTACT

0767 37 08 02
0789 37 08 02
 
Kama unahitaji jengo la kufanya biashara ya Hostel nitafute kama bado una nia na mtaji. Kuna jengo Tegeta linakodishwa au joint venture na mwenye uwezo wa kuendesha Hostel. Lina self contained rooms yenye choo na jiko 26....kunaweza kaa vitanda vya double decker vinne... na kuna appartments mbili zenye vyumba viwili, choo, na sebule. Kila ghorofa ina chumba cha kufulia, ofisi, na common room(lounge) unayoweza weka TV, vitu vidogo vidogo vya kuuza, na hata pool table.
IMG-20160331-WA0014.jpg
IMG-20160403-WA0009.jpg
 
Habari wanajamii naomba kujuzwa kuhusu uendeshaji wa hostel kumiliki hostel za nje ya chuo kwaajili ya kupangisha wanachuo na changamoto zake kwa wenye idea naombeni msaada asanteni
 
Changamoto zake ni kama nyumba ya kupanga, hakuna taratibu za kusumbua ni biashara nzuri ukipata wanafunzi/wapangaji wa kujaza hostel yako.

Usafi na ubora ni muhimu kuzingatia hasa Huduma za maji na choo. Gharama isiwe kubwa sana, na umeme usiwe wa kusumbua.

Mwisho kabisa ni suala nzima la usalama kwa wanafunzi na vifaa vyao, yote hayo ni muhimu kuzingatia
 
Habari wanajamii naomba kujuzwa kuhusu uendeshaji wa hostel kumiliki hostel za nje ya chuo kwaajili ya kupangisha wanachuo na changamoto zake kwa wenye idea naombeni msaada asanteni
Changamoto zake pia ni pale ambapo unainvest pesa nyingi halafu chuo wanakuja kujenga hostel zao hivyo unapoteza wateja na huna plan B
 
Changamoto zake ni kama nyumba ya kupanga, hakuna taratibu za kusumbua ni biashara nzuri ukipata wanafunzi/wapangaji wa kujaza hostel yako.

Usafi na ubora ni muhimu kuzingatia hasa Huduma za maji na choo. Gharama isiwe kubwa sana, na umeme usiwe wa kusumbua.

Mwisho kabisa ni suala nzima la usalama kwa wanafunzi na vifaa vyao, yote hayo ni muhimu kuzingatia
asante mkuu
 
Back
Top Bottom