Biashara ya Hostel: Mbinu, Faida na changamoto zake

br jf

Member
Dec 17, 2013
22
3
Habari zenu wana JF.

Nina eneo jirani kabisa na vyuo na hapo kunahuhitaji mkubwa wa vyumba vya kulala. Nina ndoto za kujenga hostel yenye uwezo wa kurudisha pesa haraka lakini changamoto niliyonayo ni ukosefu wa pesa za kutosha.

Tafadhali naomba ushauri kwa ili kwani ninashindwa nianzie wapi?

=======
April 26, 2015:
Habari za muda huu wakubwa zangu,

Mimi nilikua na wazo la kuanzisha biashara ya hostel kwa ajili ya wanafunzi wa chuo, na ninayo target yangu tayari. Yani watu wangu wa karibu huwa wananiita day dreamer kutokana na kuwaza mambo makubwa kuliko umri wangu.

Sasa mimi ninaomba ushauri wenu; ni wapi naweza pata mkopo wa kama 40ml? Maana nimezunguka benkiya NMB na CRDB wakasema ni lazima niwe mfanya biashara

Naombeni msaada wenu, kama nitapata msaada. Na baba yangu amekubali kuniwekea kiwanja ambacho kina nyumba tayari kama security. Any help pliz!!
 
Habari zenu wana jf.

Nina eneo jirani kabisa na vyuo na hapo kunahuhitaji mkubwa wa vyumba vya kulala.Nina ndoto za kujenga hostel yenye uwezo wa kurudisha pesa haraka lakini changamoto niliyonayo ni ukosefu wa pesa za kutosha .Tafadhali naomba ushauri kwa ili kwani ninashindwa nianzie wapi?

Kama eneo lina hati mkuu nenda benki watakupa mkopo
 
Eneo liko karibu na chuo gani? Namaanisha uko sehemu gani mkuu
 
eneo lipo jirani na chuo cha utumishi wa uma-kange Tanga,kwa sasa eneo lina offer ya kijiji nashughulikia offer kubwa
 
Habari zenu wana jf.

Nina eneo jirani kabisa na vyuo na hapo kunahuhitaji mkubwa wa vyumba vya kulala.Nina ndoto za kujenga hostel yenye uwezo wa kurudisha pesa haraka lakini changamoto niliyonayo ni ukosefu wa pesa za kutosha .Tafadhali naomba ushauri kwa ili kwani ninashindwa nianzie wapi?

haraka kiasi gani mkuu? piga hesabu zako vizuri.
 
Habari za muda huu wakubwa zangu,

Mimi nilikua na wazo la kuanzisha biashara ya hostel kwa ajili ya wanafunzi wa chuo, na ninayo target yangu tayari. Yani watu wangu wa karibu huwa wananiita day dreamer kutokana na kuwaza mambo makubwa kuliko umri wangu.

Sasa mimi ninaomba ushauri wenu; ni wapi naweza pata mkopo wa kama 40ml? Maana nimezunguka benkiya NMB na CRDB wakasema ni lazima niwe mfanya biashara

Naombeni msaada wenu, kama nitapata msaada. Na baba yangu amekubali kuniwekea kiwanja ambacho kina nyumba tayari kama security. Any help pliz!!
 
Kama nyumba ina thamani zaidi ya pesa hiyo utapata, na pili, lazima uwe na biashara,licha ya kwamba hili la biashara unaweza kumtafuta mtu mwenye biashara ambae ni ndugu yako ikawa kama kielelezo. Halafu ukijenga ile hostel unaweza kuihamisha na kuwa dhamana ya pili na kuitoa nyumba.
 
Kwa jinsi ulivyoandika hata kama ungekuwa na aseti zote benki wasingekubali kukukopesha yaani hadi uvivu kuchangia mada!
 
Kama nyumba ina thamani zaidi ya pesa hiyo utapata, na pili, lazima uwe na biashara,licha ya kwamba hili la biashara unaweza kumtafuta mtu mwenye biashara ambae ni ndugu yako ikawa kama kielelezo. Halafu ukijenga ile hostel unaweza kuihamisha na kuwa dhamana ya pili na kuitoa nyumba.

Asante sana kwa ushauri wako
 
Hiyo biashara ya huyo ndugu yake ni kwamba itakuwa haijasajiliwa? Au angalau hata leseni ya biashara na TIN hana? Ikiwa angalau leseni anayo, so how come leseni imeandikwa mmiliki wa biashara ni Zanzibar Spices halafu Juju_Kiki anatumia the same license kuombea mkopo benki!

If bankers were such stupid, no one commercial bank would be doing lending business by now unless if you're prepared to corrupt them.
 
Last edited by a moderator:
hapo labda uende kwa loan sharks, benki hupati kitu ng'oooo......the sole purpose ya kukopa benki ni kuendeleza biashara, sio kukuvizia ufail ili wauze nyumba yako, ambayo hata wakiiuza hawarudishagi hela yao vilevile
 
Biashara ya hostel ni highly cyclical, hapa namaanisha kua ili kuzifanyia kazi haraka kama unavosema itategemea na enrollment ya wanachuo katika hiko chuo.mfano mzuri ni SAUT walipiga sana hela 2009-2012 watu wakajenga za kutosha na minimum room ya kawaida ilikua 400 kwa kichwa sasahivi sasa enrollment imepungua mpaka 200 so watch your steps carefully.
 
Habari za muda huu wakubwa zangu,

Mimi nilikua na wazo la kuanzisha biashara ya hostel kwa ajili ya wanafunzi wa chuo, na ninayo target yangu tayari. Yani watu wangu wa karibu huwa wananiita day dreamer kutokana na kuwaza mambo makubwa kuliko umri wangu.

Sasa mimi ninaomba ushauri wenu; ni wapi naweza pata mkopo wa kama 40ml? Maana nimezunguka benkiya NMB na CRDB wakasema ni lazima niwe mfanya biashara

Naombeni msaada wenu, kama nitapata msaada. Na baba yangu amekubali kuniwekea kiwanja ambacho kina nyumba tayari kama security. Any help pliz!!

Huwezi kukopa benki huna chanzo cha mapato kama biashara au mshahara hata kama unaasset... Hebu pambana kwanza kutengeneza vyanzo uwe na mzunguko wa pesa
 
hapo labda uende kwa loan sharks, benki hupati kitu ng'oooo......the sole purpose ya kukopa benki ni kuendeleza biashara, sio kukuvizia ufail ili wauze nyumba yako, ambayo hata wakiiuza hawarudishagi hela yao vilevile
Benki zinakopesha pia kuanzisha biashara. Ni business plan inayowaconvince.
 
tafuta nyumba maeneo hayo inayopangishwa kwa bei ndogo, kujenga ni mpaka pale upate faida, anza kidogo kwa room nne au sita ili utimize hyo ndoto yako
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom