Bi dada... Utafanya nini? Mmeo anatembea na binti wa Salon...!

Preta,........

Sijui nitafanyaje...... Ila najua sitofanya vurugu hapo saluni kwa wakati huo..... But

1. nikienda nyumbani, nikakaa kimya ili nipange mpangomkakati, huyo mume ajiandae vita, heri ahame mji temporaly, au aishi kama digidigi maana akili zangu nazijua mwenyewe....

2. Kama nirudi home nikashusha vatangati siku hiyo hiyo basi nitalidili nae ado ado........

Ila huyo mwanamke kwa sababu nitaamini amefanya hivyo makusudi, hakuna mwizi asiyemjua anayemwibia....... Nae nitamtafutia dawa takatifu......


Nakubaliana na wewe kwani kwa kufanya kitu kama hicho mbele yako, huyo mwizi wako lazima atakuwa ameamua kutangaza vita!! Liwalo na liwe....!!

Babu DC!!!
 
Mie naona bora kutosikia na ikiwezekana kutojua....

Mambo mangapi hapa duniani hatujui na tuko safe and happy??

Babu DC!!

Hii ni obvious mkuu..jambo usilolijua ni usiku wa giza..
But wakati mwingine busara kwenye maamuzi magumu inahitajika pia..hasa kwenye mahusiano!
 
Eeh nipe maujanja, utamfanyeje?

hapo ni kumlia timing......wanaume wengine ukiwaparamia kwa maneno anakuona mzushi......
cha kufanya ni kuhakikisha amejua umejua.....then unapiga kimya......huku ukipanga mipango endelevu taratibu.......
 
ndoa haishii kwa watu kumdiscuss mumeo tu
kuna mawili wanajaribu kukuvunjia ndoa wanajua we ni mke wake
au kweli yuko mmoja anatembea nae
kwani kusaidiwa mbaya?
kama na roho ndo muwe mnanyoa kabisa na sio kusuka
ahhhh kumbe nimekosea njia mtanisamehe wacha nipite

Huo si ushahidi tosha?

Sidhani kama nitaweza endelea fanya nilichokuwa nafanya hapo salon. Nitarudi home na kujipanga kuondoka, sitakuwa hata na muda wa kumuuliza ni kuend hiyo ndoa tu. Saana nitaishare hiyo incident humu with a new ID ofcourse.
 
hapo ni kumlia timing......wanaume wengine ukiwaparamia kwa maneno anakuona mzushi......
cha kufanya ni kuhakikisha amejua umejua.....then unapiga kimya......huku ukipanga mipango endelevu taratibu.......

Nikikaa naye nitamhate sana, sintamuamini kamwe na atakuwa ananitia kinyaa. Na too bad, kupretend sijui kabisa, kama ni somo ni -F kwangu. Mwisho wa siku mimi ndio muathirika zaidi, ni bora nimuache!
 
sorry kwa kuchangia
but hii ndo hasara ya 'kuopoa mashangingi'
loud speaker si mambo ya shule hayo?
watu wazima na loud speaker?....

Ndo maana mie naopoa machangu, huwa hawana wivu, hawaulizi jina wala namba ya simu, unapatana nao bei unakula mzigo kisha unatambaa..... Sasa shida yote hiyo ya nini kutembea na mashangingi wa mtaa.....!

sexworjkerfinal.jpg
 
It absolutely and positively does.

Fair is fair thus no double or triple standards here.

I guess so many relationships blatantly fail to hype as fairness doesn't seem to exist let alone be applied.
Kudos to you if at all this is your principle!
 
kah hao wanawake am sure sio kwamba hawamjui mkewe bt wamefanya makusudi tuweka loudspeaker,japo ni ngumu kumeza ntakaa na kumaliza shughuli zangu thn home ndo kingeeleweka
 
You've taken words out of my mouth. Hivi kuna kimada hamjuhi mother house?
Hao walitaka kumrusha roho nyumba kubwa tu; wanamjua vizuri.

Nyumba kubwa ni ngumu kuijua nyumba ndogo lakini nyumba ndogo haiwezi kutulia mpaka imjue mpinzani wake.
Hii ni kama formular.

nyie ndo mnaokewa mitego na kunasa kirahisi
ni nadra sana kwa mashangingi ya mjini watembee na mtu wasimjue mkewe
inawezekana hiyo ni set up.....ili uvunje ndoa wajisogeze....
 
Back
Top Bottom