Bi dada... Utafanya nini? Mmeo anatembea na binti wa Salon...!

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
Upo Salon, mumeo anajadiliwa na wasichana waliopo hapo Salon... Hawajui kama wewe ndo mkewe...

Mmoja wao anatembea nae... full vicheko, full kumpigia simu na kuweka loud speaker. Unamsikia mumeo anajiachia tu... Hajui kama kawekwa kwenye loud speaker... Wanakata simu wanacheka mbaya! Mbaya zaidi, wanasema jamaa anamponda mke wake ile mbaya, wanataja na mapungufu yako ambayo kwa asilimia kubwa ni ya kweli....

Je..? Utafanya nini kama ni wewe...?

Huo si ushahidi tosha?

Sidhani kama nitaweza endelea fanya nilichokuwa nafanya hapo salon. Nitarudi home na kujipanga kuondoka, sitakuwa hata na muda wa kumuuliza ni kuend hiyo ndoa tu. Saana nitaishare hiyo incident humu with a new ID ofcourse.
 
nyie ndo mnaokewa mitego na kunasa kirahisi
ni nadra sana kwa mashangingi ya mjini watembee na mtu wasimjue mkewe
inawezekana hiyo ni set up.....ili uvunje ndoa wajisogeze....
 
uondoke uende wapi,kwanza mapungufu yaliyosemwa wewe mwenyewe unakiri ni ya kweli,cha kufanya ni kuyafanyia kazi mapungu mr huenda akajirekebisha!!!
 
Samahani Preta ngoja tuchangie tu japo tuna ndevu..
Dawa ya moto ni maji..na wewe utakachofanya ni kumwaga mboga manake ugali ushamwagika.
Unaweza mtia kiwewe mnayechangia mume kwa kumuambia kuwa wewe ni mkewe na mmeathirika..
Kama vipi unaichukua namba na kumpigia na unamuweka live..
Tatizo nyie wanawake hampendani..japo i believe wapo miongoni mwao watakaokuonea imani tu!!
 
Last edited by a moderator:
nyie ndo mnaokewa mitego na kunasa kirahisi
ni nadra sana kwa mashangingi ya mjini watembee na mtu wasimjue mkewe
inawezekana hiyo ni set up.....ili uvunje ndoa wajisogeze....

Mkuu wakati mwingine kwa hapa mjini inaweza set up ya kumpima imani huyo mwanamke..
So, mwanamke inabidi awe makini kuchambua mbivu na mbichi!
 
upo salon....mumeo anadiscussiwa na wasichana waliopo hapo salon.....hawajui kama wewe ndo mkewe....mmoja wao anatembea nae.....full vicheko....full kumpigia simu na kuweka loud speaker. Unamsikia mumeo anajiachia tu....hajui kama kawekwa kwenye loud speaker....wanakata simu wanacheka mbaya......mbaya zaidi....wanasema....jamaa anamponda mke wake ile mbaya, wanataja na mapungufu yako....ambayo kwa asilimia kubwa ni ya kweli........

Je..? utafanya nini kama ni wewe...?

Tena hapo mkolezo na kupigiwa mstari, ndiyo ugonjwa mkubwa wa wanaume wengi...kuponda wake zao kwa mahawara tena si kwa kuzuga bali kutoa siri/mambo yao ya familia huku wao wakijiweka 'perfect' ila wake wana matatizo!!
 
mi nadhani....ningefika nyumbani nimwambie yote niliyosikia na kuwekwa kwake kwenye loud speaker.......(hapo nakuwa nimetuliza munkari maana nikipandisha mzuka nitaharibu)..........halafu napiga kimya.....nione litakalofuata.........
 
Hapo nami ningejifanya nachangia mada ili ushahidi ukamilike,
ila nikifika nyumbani tu ni lazima niketi nae nimueleze.
Kama muelewa ataelewa na labda aendeleze kwa siri ila akijifanya ku-'panick ndipo hapo atakapojijutia na ndipo nitakapomkokota hadi hiyo saluni.
 
sorry kwa kuchangia
but hii ndo hasara ya 'kuopoa mashangingi'
loud speaker si mambo ya shule hayo?
watu wazima na loud speaker?....

Ndio maaana ule uzi wako umeendelea kuwa reference kwa wengi wetu...

Wasiotaka au wenye uzembe/mapungufu basi wasubiri kuumbuka namna hiyo!

Babu DC!!
 
uondoke uende wapi,kwanza mapungufu yaliyosemwa wewe mwenyewe unakiri ni ya kweli,cha kufanya ni kuyafanyia kazi mapungu mr huenda akajirekebisha!!!

Mfano moja ya pungufu ni kuwa sijafungasha kama Hidaya, niyafanyie kazi kwa kudungwa sillicon?

Mfano, matiti yamechoka kwa kunyonyesha watoto 3 na yeye mwenyewe nidungwe silicon kwenye manyonyo ili yawe kama ya 17 yrs gal?

Kama mapungufu ni kuwa sitoi mlango wa taka ngumu, nianze kumpa ajiexpress himself?

Naondoka naenda kuanza upya!
 
Anaongea thru speaker, ninamsikia akinikandia; aisee ajisogeze vizuri tu, ninamuachia kwa roho nyeupeee!

unakuwa umekubali makurumbembe washinde ndoa yako.....?
 
Back
Top Bottom