Bi dada... Utafanya nini? Mmeo anatembea na binti wa Salon...!

hao wanawake wanajua vema kabisa mke yuko na ndo mana wanaweka loud ili usikie ikiuume!wewe unatakiwa umalizie ulichokuwa unafanya,tena ndo wakurembe haswaa,na sanasana unamtaka huyo anayekula nawe akupe huduma,na wewe unajifanya unampigia simu mtu unamwambia kwa nguvu kuwa unampongeza kwa kutengenezwa na mwizi wa mume wake,ambae mwizi mwenyewe anajiona mjanja kumbe hana lolote,tena na wewe unacheka kwa kwenda mbele,na unahakikisha unamchana indirect taratiiibu,na mwishoni unajifanya unamwambia mtu kuwa nampa pole huyo mwizi wa mume wako maana wewe ulishatengana na mumeo miaka kadhaa kisa mume kaathirika!ukitoka hapo wala humuulzi mume wako ila unatafuta line mpya unamwambia mumeo jinsi alivyonanga mkewe akawekwa loud!MWISHO WA MCHEZO!yale mapungufu kama yanarekebishika unajirekebisha!maisha yanaendelea.
 
Kuna mtu ameiba ID yako au ni wewe. Lol.
Hivi mnataka niamini kuwa wanaume wote ni cheaters? Hata wewe. Hapana.

Mimi JF imenikomaza na kutaka niwe nakubali matokeo wakati mi ni mbishi kweli kweli,

Ndo maana mie naopoa machangu, huwa hawana wivu, hawaulizi jina wala namba ya simu, unapatana nao bei unakula mzigo kisha unatambaa..... Sasa shida yote hiyo ya nini kutembea na mashangingi wa mtaa.....!

sexworjkerfinal.jpg
 
Upo Salon, mumeo anajadiliwa na wasichana waliopo hapo Salon... Hawajui kama wewe ndo mkewe...

Mmoja wao anatembea nae... full vicheko, full kumpigia simu na kuweka loud speaker. Unamsikia mumeo anajiachia tu... Hajui kama kawekwa kwenye loud speaker... Wanakata simu wanacheka mbaya! Mbaya zaidi, wanasema jamaa anamponda mke wake ile mbaya, wanataja na mapungufu yako ambayo kwa asilimia kubwa ni ya kweli....

Je..? Utafanya nini kama ni wewe...?

Preta yamekukuta? Napita tu, no comment!
 
Dawa yake huyo unampigia hubby unamwambia gari (kama una lako) imegoma kuwaka aje akuchukue. Afu akifika unamlazimiasha aingie ndani afu unampa tongue kiss ndeeeefu. Kisha mnatoka. Afu mkifika home ndo atajuta kukufahamu. Ile kiss ni action tu kuwa you can have him wherever, and whenever you want.

hao wanawake wanajua vema kabisa mke yuko na ndo mana wanaweka loud ili usikie ikiuume!wewe unatakiwa umalizie ulichokuwa unafanya,tena ndo wakurembe haswaa,na sanasana unamtaka huyo anayekula nawe akupe huduma,na wewe unajifanya unampigia simu mtu unamwambia kwa nguvu kuwa unampongeza kwa kutengenezwa na mwizi wa mume wake,ambae mwizi mwenyewe anajiona mjanja kumbe hana lolote,tena na wewe unacheka kwa kwenda mbele,na unahakikisha unamchana indirect taratiiibu,na mwishoni unajifanya unamwambia mtu kuwa nampa pole huyo mwizi wa mume wako maana wewe ulishatengana na mumeo miaka kadhaa kisa mume kaathirika!ukitoka hapo wala humuulzi mume wako ila unatafuta line mpya unamwambia mumeo jinsi alivyonanga mkewe akawekwa loud!MWISHO WA MCHEZO!yale mapungufu kama yanarekebishika unajirekebisha!maisha yanaendelea.
 
unadhani ukimwita atakuja?wakati anajua hapo saloon ana kimada?hawa wajamaa wana machale kama makomando,sio rahisi aje atakwambia chukua tax,au yuko radhi ajifanye yuko mbali atafute mtu aje akusaidie!

Dawa yake huyo unampigia hubby unamwambia gari (kama una lako) imegoma kuwaka aje akuchukue. Afu akifika unamlazimiasha aingie ndani afu unampa tongue kiss ndeeeefu. Kisha mnatoka. Afu mkifika home ndo atajuta kukufahamu. Ile kiss ni action tu kuwa you can have him wherever, and whenever you want.
 
Siri ya hii mdogo wangu ntakuambia wakati unaingizwa mkoleni. Ila utashangaa, dawa unampigia baba chanji unamuweka loudspeaker unamuambia niko na flani tunapiga stori. Ukirudi home, hata umuambie akufulie vinasa atafua! Halafu ukishamaliza kum-mess up ndo unamuacha!

Hata kama simba inacheza na Chelsea, hukimbii mechi! Unaingia uwanjani unawafanya walau wakafue jezi zao, eboo!
lol, halafu unaendelea nae?
Si ndo ataongeza ukicheche?
 
Unatafuta uongo wewe ...atakuja tu. Hata ikibidi kudanganya unamwambia huwezi kutembea unahisi umepata stroke...atakuja tu.
Inategemea lakini mnaishije...mi wangu najua namna ya kumfanya aje.

unadhani ukimwita atakuja?wakati anajua hapo saloon ana kimada?hawa wajamaa wana machale kama makomando,sio rahisi aje atakwambia chukua tax,au yuko radhi ajifanye yuko mbali atafute mtu aje akusaidie!
 
I have to agree with you on this one. Aisee, kuna mtu anakufuata na kuku-provoke ili umuache l'aziz wako a-take advantage. Hii anaweza kukufanyia mwanaume (huku anauza sera) ama mwanamke. Hii biashara ya mapenzi, inachosha!
nyie ndo mnaokewa mitego na kunasa kirahisi
ni nadra sana kwa mashangingi ya mjini watembee na mtu wasimjue mkewe
inawezekana hiyo ni set up.....ili uvunje ndoa wajisogeze....
 
Samahani Preta ngoja tuchangie tu japo tuna ndevu..
Dawa ya moto ni maji..na wewe utakachofanya ni kumwaga mboga manake ugali ushamwagika.
Unaweza mtia kiwewe mnayechangia mume kwa kumuambia kuwa wewe ni mkewe na mmeathirika..
Kama vipi unaichukua namba na kumpigia na unamuweka live..
Tatizo nyie wanawake hampendani..japo i believe wapo miongoni mwao watakaokuonea imani tu!!

hahahahaaa, yaani bro umenichekesha sana.
kuna siku shsori wangu walikwenda club na mumewe. sasa ilikuwa bendi ni twanga pepeta wanapiga siku hiyo basi alikuwepo binti mmoja anayeitwa aisha madinda sijui siku hizi yuko wapi alikuwa ila huyu binti ni matata katika kukata mauno basi mume wa shosti akaonekana kumkodolea macho sana, na siti aliyokuwa amekaa ni ya kwanza kutoka katika njia sasa kwa kule kumzingatia aisha akatoka stejini akaja akamparamia huyu baba pale alipokaa na kujipakatisha huku akisokota nyonga lol! alipomaliza akashuka kuendelea na kucheza bwana sijui ilikuwaje akadindisha lol binti kuona hivyo akamwambia mumewe huyu dada naskia anaumwa ukimwi so uwe makini usimsogelee bwana kuskia hvyo akaanza kaumaponda huyo aisha. yaani nilicheka sana siku nasimuliwa manake ni kama vile bwana alitaka ila sasa ukimwi ndo umemzibia.
 
yaani Preta mimi nijijuavyo kwanza nngekuwa msikivu kweli, kisha nichukue hatua simsemeshi kumuliza la heri wala la shari. siku nikitaka anchomekea kitu ambacho nilikiskia na ambach najua kwamba akijua nakijua ataumia nakichomeka.

yaan ktk okosa ambalo ninsingefanya ni kuondoka ama kuanzisha tifu.
 
Last edited by a moderator:
lakini ki uhakika mwanamke anayekula na mumeo hawezi kujiharibia kwa kujiweka wazi kihivyo,inawezekana huyo mwanamke katafuta mtu akajua wewe huwa unaenda saluni ile akafanya dili nae wa kuigiza sauti hata ya mumeo ili akurushe roho!
Unatafuta uongo wewe ...atakuja tu. Hata ikibidi kudanganya unamwambia huwezi kutembea unahisi umepata stroke...atakuja tu.
Inategemea lakini mnaishije...mi wangu najua namna ya kumfanya aje.
 
yaani Preta mimi nijijuavyo kwanza nngekuwa msikivu kweli, kisha nichukue hatua simsemeshi kumuliza la heri wala la shari. siku nikitaka anchomekea kitu ambacho nilikiskia na ambach najua kwamba akijua nakijua ataumia nakichomeka.

yaan ktk okosa ambalo ninsingefanya ni kuondoka ama kuanzisha tifu.

kwa kweli hapa.....wanawake wengi tunahitaji roho wa kutuvusha.......
 
..alipomaliza akashuka kuendelea na kucheza bwana sijui ilikuwaje akadindisha lol binti kuona hivyo akamwambia mumewe huyu dada naskia anaumwa ukimwi so uwe makini usimsogelee bwana kuskia hvyo akaanza kaumaponda huyo aisha. yaani nilicheka sana siku nasimuliwa manake ni kama vile bwana alitaka ila sasa ukimwi ndo umemzibia.

Wakati mwingine hutakiwi kutumia nyundo kuvunja biskuti!!
 
mie ningejichukulia simu yangu as nimeamua kukaa kimya na kusikiliza, then ningeirekodi maongezi na mengine yoyote watakayoongelea, then naenda kumwekea asikilize na ajijue ataamua nini kuacha au kuendelea na tabia. na kuumsema nikitulia roho ili nisife bure kwa ajili ya tendo lake au niseme matendo maana anaweza akawa na wengine huko.
 
Kuna mtu ameiba ID yako au ni wewe. Lol.
Hivi mnataka niamini kuwa wanaume wote ni cheaters? Hata wewe. Hapana.

Mimi JF imenikomaza na kutaka niwe nakubali matokeo wakati mi ni mbishi kweli kweli,
nyumba kubwa, hii akili yangu ya WANZUKI wakati mwingine haijatulia......
Nilikuwa nakumbushia enzi zangu za ndoa ya mkeka Ununio.....................................LOL
 
Last edited by a moderator:
You've taken words out of my mouth. Hivi kuna kimada hamjuhi mother house?
Hao walitaka kumrusha roho nyumba kubwa tu; wanamjua vizuri.

Nyumba kubwa ni ngumu kuijua nyumba ndogo lakini nyumba ndogo haiwezi kutulia mpaka imjue mpinzani wake.
Hii ni kama formular.

Tell them....lol
 
me ningetafiti kujua yule dada anatumia mtandao gani. then ntamuomba simu yake ili niwasiliane na mtu mwenye mtandao alionao kwa kisingizio cha unafuu. then ntajidai kutoka nje ili niongee na huyo mtu kumbe nampigia mume. then ntamueleza kuwa nimemsikia yote aliyonisema kwa wale wanawake tena kwa upole,kisha ntarudisha si mu.nkifika hm kitaeleweka!
 
Back
Top Bottom