Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
mimi namshukuru Mungu kanijalia hiyo............ huwa sijisikii kuzozana na third-partykwa kweli hapa.....wanawake wengi tunahitaji roho wa kutuvusha.......
mimi namshukuru Mungu kanijalia hiyo............ huwa sijisikii kuzozana na third-partykwa kweli hapa.....wanawake wengi tunahitaji roho wa kutuvusha.......
mimi kwenye KP niliambiwa mambo ya chumbani yabaki huko, mambo ya kuyaweka hadharani tena siyo kwa kutaka ila kwa kuwarusha watu roho siweziHata kama siyo siku hiyo hiyo, huyo dawa yake ni show tu. Si anajifanya kunirusha roho...mimi sasa yake sirushi naipaisha.
Mi ndio maana nasisitiza wamama kwenye ndoa muwe mnawapeti waume zenu adharani ili vibwengo na visebengo roho iwaume. Kama ni mashindano tulishashinda long time kitambo kwa kutangazwa mbele ya Mungu na kadamnasi kuwa ni wamiliki halali. Sasa kwa nini mtu usionyeshe show; kama wapo waumie roho...nimekumbuka taharabu ya Mzee Yusufu.
umewahi sikia tabia haina dawa? yaani hata ukiwa na miaka 100 utaendelea tu maana ndo umezoea. kama inakulipa endelea. ila mimi sipati picha eti nagombana na mtu mtaani kwa ajili ya mume wangu! hainiingii kichwani kabisaMi mwenzenu sina busara kabisa...uwa kinanuka kote kote. Najua inaweza isiwe right; lakini hiyo ndo personality yangu. Labda ni utoto nikikua ntaacha. Lol
mimi kwenye KP niliambiwa mambo ya chumbani yabaki huko, mambo ya kuyaweka hadharani tena siyo kwa kutaka ila kwa kuwarusha watu roho siwezi
umewahi sikia tabia haina dawa? yaani hata ukiwa na miaka 100 utaendelea tu maana ndo umezoea. kama inakulipa endelea. ila mimi sipati picha eti nagombana na mtu mtaani kwa ajili ya mume wangu! hainiingii kichwani kabisa
huko mtaani zaidi ya kuangaliana kiaina na kushikana mikono tukiwa matembezini na kukimbizana hakuna la ziada. siwezi eti kumkiss vya chumbani ili watu waone............. yule ni mume wangu na kuna heshima mbele za watu. ni kweli watu wakiona watu wanakiss barabarani lazima wajue ni kimada, kama mkeo hamuwezi kufanya hivyo, pamoja na kila kitu kuna element za heshimaAkili za KP changanya na zako.
Ndio maana watu wakiona mwanaume hata kama amemuegemea mwanamke bar basi wana conclude ni kimada...maana ma mother houses ni very rare kupata hiyo bahati.
Sasa na wewe unakubali ku act kama dada yake kwenye kadamnasi wakati small house anajiachia tu???
mimi mume wangu anajua kabisa akilikoroga moto utamuwakia, hili ndo nalitaka mimi, aache kukimbizana na vibwengo huko maana anajua nikijua moto utamwakia, siyo afanye akijua kabisa moto utawaka upande wa pili.Mi ni wale wanawake ambao mume anaweza akawapa tahadhari vimada wake kuwa "mke wangu mkali"
Na kwa uzoefu wangu wale wenye jeuri ya kulianzisha ndani hawaishii ndani tu. Na wale wanaosema sigombani na third party wengi hata kwa waume zao sana sana wanaishia kulia au kutumia ukimya kama silaha.
Ukichaa unalipa wewe.
I have seen my mum alivyokuwa anajiliza tu na hagombani na mtu na wala haikumsaidia zaidi ya kumfanya baba awe sugu.
huko mtaani zaidi ya kuangaliana kiaina na kushikana mikono tukiwa matembezini na kukimbizana hakuna la ziada. siwezi eti kumkiss vya chumbani ili watu waone............. yule ni mume wangu na kuna heshima mbele za watu. ni kweli watu wakiona watu wanakiss barabarani lazima wajue ni kimada, kama mkeo hamuwezi kufanya hivyo, pamoja na kila kitu kuna element za heshima
mimi mume wangu anajua kabisa akilikoroga moto utamuwakia, hili ndo nalitaka mimi, aache kukimbizana na vibwengo huko maana anajua nikijua moto utamwakia, siyo afanye akijua kabisa moto utawaka upande wa pili.
afterall utakapoenda kugombana nje, hamtakuwa wawili, kuna washangiliaji na kadhalika..... yaani mimi naona ni kujishushia heshima yangu na ya mume wangu, labda kama nina mpango wa kuondoka kwenye hiyo ndoa...... lakini kama bado nipo, mi kwangu naamini the best way ni kumalizana wawili na maisha yaendelee
Wakati mwingine hutakiwi kutumia nyundo kuvunja biskuti!!
silent is a very good tool kama ni mimi simwulizi wala nini ujue mwanaume kama amefanya kosa na akajua mkewe anazo habari afu hajamwuliza dah ina muumiza sana ataanza kujiuliza mbona mke wangu haniulizi kitu wakati hizi habari anazo , ntachuna tu ila akitaka nanliu namwambia avae nanhii soksi kwanza , nadhani hii itakuwa message sentUpo Salon, mumeo anajadiliwa na wasichana waliopo hapo Salon... Hawajui kama wewe ndo mkewe...
Mmoja wao anatembea nae... full vicheko, full kumpigia simu na kuweka loud speaker. Unamsikia mumeo anajiachia tu... Hajui kama kawekwa kwenye loud speaker... Wanakata simu wanacheka mbaya! Mbaya zaidi, wanasema jamaa anamponda mke wake ile mbaya, wanataja na mapungufu yako ambayo kwa asilimia kubwa ni ya kweli....
Je..? Utafanya nini kama ni wewe...?
sorry kwa kuchangia
but hii ndo hasara ya 'kuopoa mashangingi'
loud speaker si mambo ya shule hayo?
watu wazima na loud speaker?....
Upo Salon, mumeo anajadiliwa na wasichana waliopo hapo Salon... Hawajui kama wewe ndo mkewe...
Mmoja wao anatembea nae... full vicheko, full kumpigia simu na kuweka loud speaker. Unamsikia mumeo anajiachia tu... Hajui kama kawekwa kwenye loud speaker... Wanakata simu wanacheka mbaya! Mbaya zaidi, wanasema jamaa anamponda mke wake ile mbaya, wanataja na mapungufu yako ambayo kwa asilimia kubwa ni ya kweli....
Je..? Utafanya nini kama ni wewe...?
mume wangu simuachi........ila atanifehemu..........
Unadhani kulianzisha ni lazima ufunge kibwebwe na kuanza kupigana mtaani kama wafanyavyo wamama wa uswahilini?
Afu kuhusu heshima...kuna heshima gani kwa mtu ambaye anakubonda kwa small house?; kuna heshima gani na ukipita mtaani watu wana kung'ong'a? Hakuna heshima yeyote ni undava undava...na haondoki mtu...kama kuondoka unaondoka kwa convenience yako.
Mwanaume akishaanza kuchukua machangu hakuna heshima ni ugumu tu na kuvaa mask usoni.