Kwani mchakato umeanza?
kuna vyama vya tendwa humu kaka dc
He he he.......
Ndogo wangu, hebu fanya hima utuweke wazi...Ila naamini hutaachana na wadawa wako waliojazana ISC (Infidelity Social Club) eti kwa ajili ya Smile kikundi chake cha uchakachuaji.
Huyo smilie anawapotosha wenzake kwamba yuko anti-infidelity wakati ndiye kinara......utajionea mwenyewe vimemo vyake na Asprin.
Ngoja niishie hapo nisijeku kuambiwa kuwa Babu siku hizi amekuwa mbeya!
Retired Maj Gen DC (1947)...Mshauri wa vijana waliopozamia ISC.
he he he.......
Ndogo wangu, hebu fanya hima utuweke wazi...ila naamini hutaachana na wadawa wako waliojazana isc (infidelity social club) eti kwa ajili ya smile kikundi chake cha uchakachuaji.
Huyo smilie anawapotosha wenzake kwamba yuko anti-infidelity wakati ndiye kinara......utajionea mwenyewe vimemo vyake na asprin.
Ngoja niishie hapo nisijeku kuambiwa kuwa babu siku hizi amekuwa mbeya!
Retired maj gen dc (1947)...mshauri wa vijana waliopozamia isc.
Sisy BHT just stick na chama pinzani,
Sure we can, wanakuchanganya hao.
Posted via Mobile
Uko lodge gani?
Muda kampeni unakaribia kuisha
Kwenye avatar yako kama nyonyo zimekuwa kubwa kidogo au sijui sababu ya kukaa kwenye computer muda mrefu nitakuwa sioni vizuri
aaah ze finest, mie mwenzio sifanyiagi huko bana, si mwanachama kabisa wa hizo places
Binamu nyama ya hamu sijui nimekosea