Bht. Bht, Bht, Bh, Bh, B,B............But why?

uwii lost kabisa aisee

Lazima upotee tu ndogo wangu...Ila siku hizi katibu wa ISC anachukue minutes...unaweza kujisomea mwenyewe wakati kulichoko huko ndani kinapumzika!!!
 
He he he.......

Ndogo wangu, hebu fanya hima utuweke wazi...Ila naamini hutaachana na wadau wako waliojazana ISC (Infidelity Social Club) eti kwa ajili ya Smile kikundi chake cha uchakachuaji.

Huyo smilie anawapotosha wenzake kwamba yuko anti-infidelity wakati ndiye kinara......utajionea mwenyewe vimemo vyake na Asprin.

Ngoja niishie hapo nisijeku kuambiwa kuwa Babu siku hizi amekuwa mbeya!

Retired Maj Gen DC (1947)...Mshauri wa vijana waliozamia ISC.
 
He he he.......

Ndogo wangu, hebu fanya hima utuweke wazi...Ila naamini hutaachana na wadawa wako waliojazana ISC (Infidelity Social Club) eti kwa ajili ya Smile kikundi chake cha uchakachuaji.

Huyo smilie anawapotosha wenzake kwamba yuko anti-infidelity wakati ndiye kinara......utajionea mwenyewe vimemo vyake na Asprin.

Ngoja niishie hapo nisijeku kuambiwa kuwa Babu siku hizi amekuwa mbeya!

Retired Maj Gen DC (1947)...Mshauri wa vijana waliopozamia ISC.

ORAIT ORAIT

The Following User Says Thank You to Dark City For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
he he he.......

Ndogo wangu, hebu fanya hima utuweke wazi...ila naamini hutaachana na wadawa wako waliojazana isc (infidelity social club) eti kwa ajili ya smile kikundi chake cha uchakachuaji.

Huyo smilie anawapotosha wenzake kwamba yuko anti-infidelity wakati ndiye kinara......utajionea mwenyewe vimemo vyake na asprin.

Ngoja niishie hapo nisijeku kuambiwa kuwa babu siku hizi amekuwa mbeya!

Retired maj gen dc (1947)...mshauri wa vijana waliopozamia isc.

hauwezi kuacha mbachao kwa msala upitao
 
aaah ze finest, mie mwenzio sifanyiagi huko bana, si mwanachama kabisa wa hizo places

Wasiku-malfeed bwana,

Kuwa member siyo lazima uende huko kwenye viwanja vyao. Kama vipi tubaki tuwe tunawapaga maushauri...au unaonaje?
 
Finest nahitajika kuongea hapo.....

Wewe usiongee kwa sababu tunakujua jinsi unavyowaingiza wenzio kwenye mkenge...Unawazuia kula vitamu wakati wewe ndiye mteja mkubwa wa kitimoto...au nadanganya??......Shahidi ya Asprin.
 
ze finest nilikofichwa sikwambii....l
DC ameotea

Bigirita youuuuuuuuuuu upo?

Dreamliner ningekuagaje sasa na wewe jamani? ningeharibu maana halisi ya kupotea lol

Smiles hicho chama I guess I am too old to be a member, wat do u think?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom