Bht. Bht, Bht, Bh, Bh, B,B............But why?

kwa mfano nikidumbukiza kura yangu afu nikachovya kidole changu cha kushoto kwenye wino na wee yako nikufanyie vivyo hivyo kwa mkono wa kulia....hapo vipi? ili usipoteze haki yako

Mhhh,

Unajua mdogo wangu, kadri umri unavyokwenda ndivyo tunavyozidi kuogopa risk...halafu ukizingatia ubeba innocent wa watu...

Mi hapo bado ndugu yangu!!
 
kwa mfano nikidumbukiza kura yangu afu nikachovya kidole changu cha kushoto kwenye wino na wee yako nikufanyie vivyo hivyo kwa mkono wa kulia....hapo vipi? ili usipoteze haki yako
kwa hiyo DC yeye anahaki ya kuchovya tu basi!! kweli wewe umebarikiwa kuliko wanawake flani hivi nawajua.
 
hahahahah......umekosea saaana!!

Haya basi basi hebu prove.

Mimi naleta mashahidi....Asprini, Kaizer...et al.

Wewe mashaidi unao? au unataka kujitetea mwenyewe na hapo hapo uwe sahidi....

Mpendwa wetu Hon. Bht atakufafanulia kama hiyo ipo kwa mujibu wa kanuni zao...!!
 
hahaaaaaaaaaaaaaa Bigirita sasa wewe ndo utamfanya kaka mkubwa asinielewe kimoja.
basi tufanye yameisha wajemeni
 
Bht nimeambiwa ulikuwa jumba la big brother kwa muda wa siku tisini
Napata picha :A S-rose::dance:
 
wa ukweli mi ni ngumu kutenganishwa na hayo aisee....si unajua!!

Ndo maana u have been missed big tyme

St RR kwa mamlaka yako hebu organise a get together immediately, tafuta ndama aliyenona achinjwe, na unga safi wa ngano tuukande tujichane.....Huyu Kijana Finest kazi yake kutafuta mihogo ya kukaanga

bht atakuja akiwa na Babu yake DC manake ndo mlinzi wake for now

Smiles, Lily Flower na Wiselady pia mnakaribishwa kwenye ukaribisho wa bht!
 
Haya basi basi hebu prove.

Mimi naleta mashahidi....Asprini, Kaizer...et al.

Wewe mashaidi unao? au unataka kujitetea mwenyewe na hapo hapo uwe sahidi....

Mpendwa wetu Hon. Bht atakufafanulia kama hiyo ipo kwa mujibu wa kanuni zao...!!

hao unaosema mashahidi wako una uhakika wako pamoja na wewe....??
(Asprin....kwisha habari yake siku nyingi!! atakuitikia tuu lakini ananisikiliza mimi :smiling:
Kaizer ndio usiseme....always to my rescue....hahahahah
) kazi unayo.....
I hope they are not reading this.....:doh:
 
hey roya roy...........
umekuwa kokoriko siku hizi? unamwamshaga nani?
Wanaiita St. Jogoo (jogoo ya kiswahili bana, sio kiingereza :A S 13::A S 13::A S 13:)....
Kwani umelala nikuamshe...ndo kazi yangu ati...
 
hahaaaaaaaaaaaaaa Bigirita sasa wewe ndo utamfanya kaka mkubwa asinielewe kimoja.
basi tufanye yameisha wajemeni

kesho nitakupa taarifa fupi ya hapa my bestlady ..wajua sasa naenda kumpikia sweetlotion ..
take care
 
hahaaaaaaaaaaaaaa Bigirita sasa wewe ndo utamfanya kaka mkubwa asinielewe kimoja.
basi tufanye yameisha wajemeni

Msamehe ndugu yetu huyu...atapiga sala ya toba sasa hivi.

Hakusoma hapa

Retired Maj Gen DC (1947)
 
hao unaosema mashahidi wako una uhakika wako pamoja na wewe....??
(Asprin....kwisha habari yake siku nyingi!! atakuitikia tuu lakini ananisikiliza mimi :smiling:
Kaizer ndio usiseme....always to my rescue....hahahahah)
kazi unayo.....
I hope they are not reading this.....:doh:

Kesi imeisha....

Hakuna jaji mpuuuzi atahitaji ushahidi zaidi ya hayo maneno yako
 
hao unaosema mashahidi wako una uhakika wako pamoja na wewe....??
(Asprin....kwisha habari yake siku nyingi!! atakuitikia tuu lakini ananisikiliza mimi :smiling:
Kaizer ndio usiseme....always to my rescue
....hahahahah
) kazi unayo.....
I hope they are not reading this.....:doh:
Of-course they are not!.
 
Bht nimeambiwa ulikuwa jumba la big brother kwa muda wa siku tisini
Napata picha :A S-rose::dance:

heheeee matron ndo nini kumwaga siri hzarani lol.....anyway na haka kazaigoti nilikapata huko huko
 
kesho nitakupa taarifa fupi ya hapa my bestlady ..wajua sasa naenda kumpikia sweetlotion ..
take care

Wewe naona bado unadumisha mila...Bibi anawahi home wakati Babu anarudi saa 6 hivi kukuta misosi yoooote tayari...halafu anawahi swala ya alfajiri....

Njoo basi katika chama cha washauri wa vijana, tuokoe jahazi.

Retired Maj Gen DC (1947)
 
Back
Top Bottom