bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,862
Wasiku-malfeed bwana,
Kuwa member siyo lazima uende huko kwenye viwanja vyao. Kama vipi tubaki tuwe tunawapaga maushauri...au unaonaje?
mtu mzima dawa, mi naona ushauri wako ndo unanifaa
Wasiku-malfeed bwana,
Kuwa member siyo lazima uende huko kwenye viwanja vyao. Kama vipi tubaki tuwe tunawapaga maushauri...au unaonaje?
ze finest nilikofichwa sikwambii....l
DC ameotea
Bigirita youuuuuuuuuuu upo?
Dreamliner ningekuagaje sasa na wewe jamani? ningeharibu maana halisi ya kupotea lol
Smiles hicho chama I guess I am too old to be a member, wat do u think?
kumbe unanisikiliza eeeeeeeeeeeeeeeeeeh?mwaaaaaaaaaaaaaaa:biggrin1:
Ulifichwa wapi?
mtu mzima dawa, mi naona ushauri wako ndo unanifaa
Agiza kinywaji chako haraka.....wambie wanirushie bill..
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
Lazima tubaki huko tuwasadiea hawa vijana wetu.
The Following 2 Users Say Thank You to The Finest For This Useful Post:Kuna vyama viwili ISC na IPC ila hicho cha IPC ni kama wale CCJ mbwembwe nyingi lakini mwishowe viongozi wake wanarudi chama tawala
kwa sasa endelea kupata ile kitu mtori na uji wa ulezi (uji wa mbeke)nimebadilishaga kinywaji, siku hizi nakunywa fanta orange......I guess bei ni sawa tu na koka kola
Ndo maana nilipata shida siku zooooote hizo ulizo-hibanate...
Anyway ...tuko pamoja hadi kieleweke. Hatutaki hata kondoo mmoja apotee.
Na ukumbuke ile kazi yetu ya Oct 31.....sawa mdogo wangu. Mimi nimekwama kidogo, ... ila poa tu,..safari siyo kifo!
nimebadilishaga kinywaji, siku hizi nakunywa fanta orange......I guess bei ni sawa tu na koka kola
hiyo haki yangu ya msingi siwezi kuipoteza na hata wangethubutu kuninyang'anya wangejuuuuuuta. No one shall ever take away that which is considered to be my right...whether constitution or other wise, sinyang'anywi aisee.
vipi nikikueksesaizia hiyo haki yako lol!!!
kwa sasa endelea kupata ile kitu mtori na uji wa ulezi (uji wa mbeke)
Hapo umebadili uwanja na kuniacha njiani...ndo kufanyaje namna hiyo?
Bigirita, mtori ni mpaka nitue hiki kiumbe lol!!! saa hizi machalari ndo yanabamba mbaya
uji wa mbeke....no question, huo ndo umetulea na kutukuza na sasa nazeeka nao.
Bigirita, mtori ni mpaka nitue hiki kiumbe lol!!! saa hizi machalari ndo yanabamba mbaya
uji wa mbeke....no question, huo ndo umetulea na kutukuza na sasa nazeeka nao.
umenena......wakti ukifika usisahau kitawa, halafu mtoto akianza kula lazima apate kitu kiburu mara kwa mara, si unajua magado ndo yalitufanya tukapata maakili?....kitu potassium na sodium (K and Na) mambo ya akili kuchajiBigirita, mtori ni mpaka nitue hiki kiumbe lol!!! saa hizi machalari ndo yanabamba mbaya
uji wa mbeke....no question, huo ndo umetulea na kutukuza na sasa nazeeka nao.
Well..well..:welcome: back...
Wewe usiongee kwa sababu tunakujua jinsi unavyowaingiza wenzio kwenye mkenge...Unawazuia kula vitamu wakati wewe ndiye mteja mkubwa wa kitimoto...au nadanganya??......Shahidi ya Asprin.