Beware of any newz from Mbeya Today..............

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
IMGP7315.jpg
Jamani habari ya kutoka Mbeya leo muihakiki mara mbili maana blog moja imetaarifu kwamba waandishi wa huko wamepigwa maji ya mende leo na TBL..............HAPA NI WAKATI WANAANZA TU...na unaweza kuona katika hali ya kawaida mtu hawezi kuwa na glass zaidi ya moja mbele yake.........ikiashiria dalili za network ya Muumba kutoweka na kusheheni ya TBL.............
 
Biashara ni ujanja!!!! Si mapesa mengiiiiiiiiiii na shule kubwaaaaaaaaaaa
 
Ndo waandishi wa siku hizi hao, hivi hata kama kuna habari nyeti hapo unategemea watoka na nini hapo? Kama si kusifia tu na kuacha news yenyewe! Ndo hawa wa aaaaaaaaiiiittttttttvvvvvvvvvvv!
 
ni blog ipi
huyu wa mwanzo ni mwandishi wa tanzania daima mbeya .anaitwa Nyanyembe kama sikosei

aibu hii watu wa press
 
Ndo waandishi wa siku hizi hao, hivi hata kama kuna habari nyeti hapo unategemea watoka na nini hapo? Kama si kusifia tu na kuacha news yenyewe! Ndo hawa wa aaaaaaaaiiiittttttttvvvvvvvvvvv!

Hawa ndio Pasco & co. watu wa mshiko; bila brown envelope hakiandikwi kitu kuwajuza wananchi!!
 
Aibu tupu, mwangalie huyo wa ktkt. Ana shati, na koti halafu wamemvisha na fulani huu. Kisa hizo bilauri, na huyo dada sijui ndo mTBL maana naona kama anawasanifu vile "kwisha habari yao". T-shirt juu ya koti la suti!!!!
 
IMGP7294.jpg
Michuzi ya leo cheki kwa maoicha mengine kibao..yaani hapa walianza na glass baadae wakapelekwa kugonga ile ya direct MOJAKWAMOJA........TOKA BOMBANI ...............
ni blog ipi
huyu wa mwanzo ni mwandishi wa tanzania daima mbeya .anaitwa Nyanyembe kama sikosei

aibu hii watu wa press
 
Wameambiwa watest kila brand nini maana naona glass tatu mtu mmoja!
Inanikumbusha nilipoenda Coca kama denti miaka iyo walitupa brands zote kutest alafu tuwape comment kuna dogo aligonga kama chupa kumi
 
Back
Top Bottom