Betting ya HTC A3333 Wildfire.

Makbel

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
774
165
Wakuu nahitaji hiyo betri tajwa hapo juu iwe Original kwa bei ya Tsh.15,000. Pale Kariakoo Mtaa wa Aggrey a.k.a Mtaa wa masimu nimekosa! Kwa mwenye nayo Tuwasiliane kwa namba hii 0717577755 or 0767577755. Au ani PM.
Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom