mojoki JF-Expert Member Oct 21, 2010 1,314 290 Nov 25, 2011 #1 natafuta betri ya hiyo machine hapo juu ningependa fahamu inapatikana wap na kwa kiasi gani mwenye ufahamu tafadhali anijuze
natafuta betri ya hiyo machine hapo juu ningependa fahamu inapatikana wap na kwa kiasi gani mwenye ufahamu tafadhali anijuze
Akthoo JF-Expert Member Nov 5, 2007 998 1,015 Nov 25, 2011 #2 Inapatikana Karikoo; CLOVELAND COMPUTERS. Mtaa wa Aggrey/Sikukuu. BEI 120,000 Tsh.
baraka607 JF-Expert Member Aug 2, 2010 844 165 Nov 25, 2011 #3 mojoki said: natafuta betri ya hiyo machine hapo juu ningependa fahamu inapatikana wap na kwa kiasi gani mwenye ufahamu tafadhali anijuze Click to expand... bro hiyo betri umeshapata, bei yake ni 100,000... kama uko interested nicheki 0655003510 au PM me.
mojoki said: natafuta betri ya hiyo machine hapo juu ningependa fahamu inapatikana wap na kwa kiasi gani mwenye ufahamu tafadhali anijuze Click to expand... bro hiyo betri umeshapata, bei yake ni 100,000... kama uko interested nicheki 0655003510 au PM me.