betri ya dell D630

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
natafuta betri ya hiyo machine hapo juu ningependa fahamu inapatikana wap na kwa kiasi gani mwenye ufahamu tafadhali anijuze
 
Inapatikana Karikoo; CLOVELAND COMPUTERS. Mtaa wa Aggrey/Sikukuu.
BEI 120,000 Tsh.
 
natafuta betri ya hiyo machine hapo juu ningependa fahamu inapatikana wap na kwa kiasi gani mwenye ufahamu tafadhali anijuze
bro hiyo betri umeshapata, bei yake ni 100,000... kama uko interested nicheki 0655003510 au PM me.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom