Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

Kama huyu anapiga watu risasi heri Membe awafukuzaye wakakae nje ya nchi.

M4P2020
Hahahaha
Chadrama mcharuko kwishney
Nendeni segerea mkamwone dj wenu sio mihasira yenu mnamtupia membe
Hahahaha pathetic dna walahi
 
Kama huyu anapiga watu risasi heri Membe awafukuzaye wakakae nje ya nchi.

M4P2020
Hata kununua madiwani wabunge kurudia chaguzi kwa gharama kubwa pesa za umma pesa za walipa kodi ni kitu kibaya zaidi, kuwabambikia kesi kuwaokoa chadema na kuua upinzani kwa ujumla ni unyanyasaji hatari kuliko awamu zote zilizopita
 
Musiba wa gazeti la Jamvi la habari kaamua kujitoa fahamu zote kisa njaa, sasa kamsababishia Membe kuitwa na katibu mkuu wa CCM na endapo atashindwa kuwajibu maswali huenda akavuliwa uanachama wa CCM ina maana ipo vita kubwa Kati ya Membe na wale wanaomtuma Musiba kuropoka uzushi kila mara

Hamna vita hapo, wewe kijana mdogo
Membe ni sisimizi tu kwa Mama Tanzania
 
Kabadili pedi huko , aliyekuambia mimi chadema nani?
Na tukienda segerea kumuona Mbowe utaongezewa 7000×2 = 14000.
Hahahaha
Chadrama mcharuko kwishney
Nendeni segerea mkamwone dj wenu sio mihasira yenu mnamtupia membe
Hahahaha pathetic dna walahi
 
Hamna vita hapo, wewe kijana mdogo
Membe ni sisimizi tu kwa Mama Tanzania
Le mutuz acha hizo ebu kojoa ukalale maana najua utakuwa upo Disco ama ndiyo umefika home toka Disco mda huu, Membe atawahenyesha labda mkimbambikia kesi ndipo ataweza kukosa umakini wa kuwahenyesha CCM
 
Musiba wa gazeti la Jamvi la habari kaamua kujitoa fahamu zote kisa njaa, sasa kamsababishia Membe kuitwa na katibu mkuu wa CCM na endapo atashindwa kuwajibu maswali huenda akavuliwa uanachama wa CCM ina maana ipo vita kubwa Kati ya Membe na wale wanaomtuma Musiba kuropoka uzushi kila mara
Musiba hana njaa wewe... Anachoandika ni ukweli
 
Game ya Kisiasa ya wakati huu kwa Tanzania haifanani na wakati wowote ule. Aliyekariri atapitwa na mengi.
 
Huyu ndio BCM ambaye anautaka Urais ili awakomoe maadui zake hao 11.

Je tutp tayari kutumika kama daraja la kufurahisha nafsi za watu??

Au tunatafuta Kiongozi wa kututumikia??
 
Wana JF heshima kwenu wakuu !!

Napenda kutumia fursa hii kumpongeza Ngurumo kwa uchambuzi wa kina katika makala yake. Ni dhahiri yote yaliyoandikwa humo ni ukweli mtupu. Mtandao wa Membe ni wasindikizaji, haiwezekani na haitatokea Mh. Membe akawa rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hata kama ni kwa kutumia vyombo vya dola, na sababu ziko wazi kama ifuatavyo;
1. Membe ni mojawapo wa mafisadi kwani hajatueleza mabilioni ya Libya ameyapeleka wapi.
2. Membe alituahidi watanzania na Bunge kwa ujumla wake ati angewataja wote waliotorosha mabilioni yetu na kuyapeleka Uswis, lakini hadi naingia mitamboni bado ni kitendawili.
3.DNA test zinaonyesha pasipo na shaka Membe na JK ni ndugu i.e (Ni watoto wa Baba mmoja, MAMA mbalimbali). Ni vyema ikafahamika Urais wa jamhuri ya Tanzania siyo wa Kikwete family.
4. Thinking capacity ya Membe haina tofauti na akina Ritz, Nape na Lameck Mkumbo. Hivyo basi hafai kuwa kiongozi wa nchi hii.
5. Membe ni mnafiki.
Ha ha ha hii ni karma
 
Halafu kusema "watakimbilia Kenya" kunaonyesha kijamaa kilivyo mufilisi katika diplomasia.

Rule number 3 of diplomacy, kama huna haja ya kutaja jina usitaje jina, angeweza kusema watakimbilia nchi jirani, or better yet, watakimbia nchi.

Sasa Wakenya wakianzisha beef naye kwa kuwasema kwamba nchi yao ndiyo ficho la maadui wa watu influential Tanzania atasema nini?

Na huyu ni one of the top diplomats wetu, hata diplomasia hajui!!

Hahahaaa

Huyu ndo utamchagua badala ya Magufuli?
 
Eti huyu naye anataka kuwa rais!!

Yaani tulipokuwa na rais Mwinyi tulifikiri he was the worst president possible, akaja Kikwete tukaona afadhali hata Mzee Ruksa, sasa akija Membe amini usiamini tutaona bora hata Kikwete.

😄😄😄
 
Back
Top Bottom