Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

Katika kipindi cha Dakika 45 ITV Mh Membe anaonekana kuongea kwa hisia na uwazi sana kuhusu maisha yake ya kisiasa pamoja na mvutano uliopo kati yake na mahasimu wake.

Anasema iko siku atawataja peupe kwa majina na sura zao. Nauona undani wa Membe hapa.

He seems to be innocent amidst wolves. Tuombe siku ifike na yeye afunguke.

Kwa watia nia wa ccm hadi sasa sijaona anayefaa urais wote naona ni visasi tu labda kidogo makamba na mwigulu kati ya wote waliotia nia
 
Jamani kama unajua ulipishana kauli na Joka anza kujipendekeza kabisa kabisa au tafuta nchi ya kwenda

Kimenuka
 
Katika kipindi cha Dakika 45 ITV Mh Membe anaonekana kuongea kwa hisia na uwazi sana kuhusu maisha yake ya kisiasa pamoja na mvutano uliopo kati yake na mahasimu wake.

Anasema iko siku atawataja peupe kwa majina na sura zao. Nauona undani wa Membe hapa.

He seems to be innocent amidst wolves. Tuombe siku ifike na yeye afunguke.

sasa naona muda wa maadui za Membe kukimbilia Kenya umefika
 
membe alinukiliwa katika kipindi cha dk 45 cha ITV akisema kuwa anao maadui 11 na ndoto yake ikitimia wajiandae kukimbilia kenya sasa ameingia tano bora ndoto yake inaelekea kuwa kweli je wale maadui zake 11 na nyinyi mmesha anza kutafuta pa kufikia kenya au kuomba hifadhi ya ukimbiza kenya?
 
Back
Top Bottom