Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

Katika kipindi cha Dakika 45 ITV Mh Membe anaonekana kuongea kwa hisia na uwazi sana kuhusu maisha yake ya kisiasa pamoja na mvutano uliopo kati yake na mahasimu wake.

Anasema iko siku atawataja peupe kwa majina na sura zao. Nauona undani wa Membe hapa.

He seems to be innocent amidst wolves. Tuombe siku ifike na yeye afunguke.
mbona kimya mpaka leo hajawataja?-
 
Membe ndo nan? aende akaendelee kutumikia usalama wa taifa, yeye na Pinda wamechangia sana kuliiibia taifa ili wakati wakiwa na mafunzo yaliyorigharimu taifa ili wawe wanausalama wema , mwishowe wanashiriki kuliibia taifa, bushit, nenda zaki kamiliusi Membe ukalime na wanamtama.
 
2016 ndio hii, tumpe muda mpaka tarehe 23 July tuonae labda atatimiza adhma yake ya kuwataja adui zake na kuwahamisha nchi.
 
Membe ndo nan? aende akaendelee kutumikia usalama wa taifa, yeye na Pinda wamechangia sana kuliiibia taifa ili wakati wakiwa na mafunzo yaliyorigharimu taifa ili wawe wanausalama wema , mwishowe wanashiriki kuliibia taifa, bushit, nenda zaki kamiliusi Membe ukalime na wanamtama.
Mkuu muombe ladhi pinda
 
Mkuu Raia Fulani, kama na wewe uko kwenye wale wanaomini nililipwa kumpigia debe EL, basi inamaana hela nilizolipwa zimekwisha, sasa niko kwenye payroll ya Membe!.

Nimesema sio mara moja wala mbili kuwa siha ya EL inanitia mashaka kuhimili pilika pilika za 2015, hivyo Membe ndie perfect substitute, just incase!. Wale wote wenye mapenzi mema na nchi hii, nawaombeni mniunge mkono kama sio EL kuwa mgombea wa CCM, 2015, then tusimamie awe Membe!.
Mkuu upo salama lakini?
 
Wanaojua kuhusu mijoka inayotisha, wanajua mijoka hiyo huwa inakula nini, miongoni mwa vitu ambavyo nyoka hali, ni ndimu!, hivyo ikitokea ukaona kuna bonge la joka kwenye mti wa ndimu, ujue hilo ni joka tuu la mdimu, halili ndimu, lina macho lakini hayaoni, wala na lina meno lakini hayatafuni na halina sumu!, kazi yake ni kutisha tuu watu wasichume ndimu, lakini lenyewe wala halina shida za hizo ndimu!.

Kwa vile mimi ni mtu kutoka ile kanda ambayo huwaga hatuogopi mijoka, then hata hilo joka la mdimu, siliogopi!.

Pasco.
Najikumbusha tuu kuhusu Joka la Mdimu.
P
 
Najikumbusha tuu kuhusu Joka la Mdimu.
P
Musiba wa gazeti la Jamvi la habari kaamua kujitoa fahamu zote kisa njaa, sasa kamsababishia Membe kuitwa na katibu mkuu wa CCM na endapo atashindwa kuwajibu maswali huenda akavuliwa uanachama wa CCM ina maana ipo vita kubwa Kati ya Membe na wale wanaomtuma Musiba kuropoka uzushi kila mara
 
Back
Top Bottom