Wewe shika adabu yako, Uswahili unahusu nini hapa?
Kuandika vizuri haujuwi unataka kutukana asili za watu?
Wewe shika adabu yako, Uswahili unahusu nini hapa?
Kuandika vizuri haujuwi unataka kutukana asili za watu?
Membe kiwembe cha mende kipande chapembe kiache uzembe
Kiranga, I never read this post timely, but probably this is one of the best posts at JF ever!Vilaza siku zote wanawaza maadui wao kama watu.
Vipanga siku zote wanawaza maadui zao kama ideas.
Ndiyo maana ukimsikia mtu kama Nyerere akiongelea maadui anaongelea umaskini, magonjwa na ujinga. Wengine wanakwambia maadui watakimbilia Kenya.
Kama huu ndio uongozi wenyewe, basi tunarudi nyuma.
Wewe shika adabu yako, Uswahili unahusu nini hapa?
Kuandika vizuri haujuwi unataka kutukana asili za watu?
Katika kipindi cha Dakika 45 ITV Mh Membe anaonekana kuongea kwa hisia na uwazi sana kuhusu maisha yake ya kisiasa pamoja na mvutano uliopo kati yake na mahasimu wake.
Anasema iko siku atawataja peupe kwa majina na sura zao. Nauona undani wa Membe hapa.
He seems to be innocent amidst wolves. Tuombe siku ifike na yeye afunguke.