Benzi za Ikulu toka Libya

Jamani kwani hamjui Gaddafi anataka nini??anataka uraisi wa Africa....hamjui hili??

Hapa kidogo nakubaliana nawe ingawa tangia juhudi za Sirte alionyesha wazi kutotaka nafasi hiyo. Nadhani Ghadafi na Museveni wanaponzwa na fikira za wengi kuhusiana na hili...

Tanzanianjema
 
Je wewe unaamini QURAN sio kitabu cha kutungwa?


Tanzanianjema

naamini ila nikiwa Rais au kiongozi sewezi kutumia jukwaa tena jukwaa la kimataifa kueleza ninachokiamini au nisichikiamini katika dini zingine tena kwa lengo la kukashifu. Gadaf alifanya kosa kubwa.
 
Ukidukuliwa taarifa zako unamlaumu nani, gari za ikulu nii jukumu la watanzania kununua hata kama tutakuka maharage mwaka!
 
Back
Top Bottom