CARLOS MAJURA
Senior Member
- Mar 7, 2013
- 192
- 69
Sio kwamba wakazi wa manzese Wote ni wahuni, bali Manzese kuna wahuni kama ambavyo wewe ni mhuni ndani ya CCM, lakini kuna wengine humo sio wahuni kwa mfano: Joseph Sinde Warioba, Joseph Butiku na Salim Ahmed Salim.Hawa wakazi wa Manzese anaowadhalilisha kuwaita wahuni ndiyo waliomchagua John Mnyika leo hii hawana tena thamani.