Benson Kigaila awadhalilisha wakazi wa Manzese

Hawa wakazi wa Manzese anaowadhalilisha kuwaita wahuni ndiyo waliomchagua John Mnyika leo hii hawana tena thamani.
Sio kwamba wakazi wa manzese Wote ni wahuni, bali Manzese kuna wahuni kama ambavyo wewe ni mhuni ndani ya CCM, lakini kuna wengine humo sio wahuni kwa mfano: Joseph Sinde Warioba, Joseph Butiku na Salim Ahmed Salim.
 
Akihutubia waandishi wa habari leo mchana jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa operesheni wa Chadema, Benson Kigaila alikemea vikali kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kuwataka wana CCM wasowe wanyonge.
"Kauli hii haivumiliki hata kama imetolewa na rais au mhuni wa Manzese" alisema Kigaila.

My take: Kwani wakazi wote wa Manzese ni wahuni? Au Manzese ndio eneo la kutolea mifano ya wahuni? Haya Kigaila unayeishi Masaki.
hujui hata lugha yako ya taifa? ngoja waje wataalamu wa kiswahili watakusaidia.
 
Mkuu nyie wenyewe kupatana kazi wakibosho wanawaona nuksi wamachame, warombo wanawaona nuksi wapare.
Hayo maneno waambie wasiowajua.
hayo wasema ww, sijawahi kusikia wamepigana au la, watu wapo pamoja siku zote, hakuna ukabila isipokuwa wa kisiasa, na unaolazimishwa na nyie mnaodhani mtakaa siku zote madarakani, poor minds!
 
Back
Top Bottom