Acha madharau kwa wazawaHaiwezekani Kifupi hakuna utaalam wa IT security Bongo, period. Hakuna utaalam wa anything for that matter.
Well, bottom line is sijawahi kwenda Bank of America nikaambiwa ooh, we are sorry, leo tunafunga upgraded ORACLE_HOME na ku resize redo log files kwa hiyo bank imesimaisha kazi kwa muda! Hell to the no! Hatuna wataalam wa IT security. Citi Bank on Madison Avenue haliwezi kufungwa eti wana resize tablespaces, never ever!Acha madharau kwa wazawa...Unaweza ku perform upgrade from 9i to 10g lets say bila shutdown? uta upgrade vipi $ORACLE_HOME, kuresize redo log files au hata adjusting size of the tablespaces?
Mkuu,Okay, jibu hili: Kwa nini sijawahi kwenda Bank of America nikaambiwa ooh, we are sorry, leo tunafunga upgraded ORACLE_HOME na ku resize redo log files kwa hiyo bank imesimaisha kazi kwa muda! Hell to the no! Hatuna wataalam wa IT security. Citi Bank haliwezi kufungwa eti wana resize tablespaces, never ever!
Aiseeeeeee mmenikumbusha wakati niko FINCA wakati zoezi la kufanya 'arrears clearance' du tulipiga hela ndefu kishenzi. Lakini wapi bwana kisicho ridhiki hakiliki......teteteteteteeeeee! Yaani unarudi na laki tano kwa siku, kesho unaambiwa nyumba imeezuliwa paa na upepo, basi hela yoooooooooooooooooooote inaenda kukarabati kibanda, Mungu ana mambo wazeeeeeeeeeee! acha tu
Habari za hivi punde ni kuwa Baadhi ya wajanja wa Mambo ya ICT katika benki ya NMB Bukoba wameiba sh milioni zaidi ya 60.Kwa sasa benki imwefungwa wakijaribu kuona kama wanawweza kupata fedfha hizo.
Habari iko hivi.
Fedha hizi zimeibwa kupitia kitengo cha mikopo cha hii benki na kwamba Uongozi wa benki ulikuwa ukibadilisha mfumo wa computer kutoka mfumo A kwenda mfumo B ndipo wajanja walipotumia mwanya huo kuamisha fedha hizo kiulaini.
Benk imefungwa,wateja wapo wanasota .
Je kumbe ICT ina madhara makubwa kama haya,wataalam wa ICT jamani tumieni utaalam wenu kwa mambo yenye manufaa?
Hii ishu itakuwa imechezwa na watu humohumo bungeni.
Mnashangaa nini? Mbona serikali nzima imejaa wizi mbalimbali kwenye idara zake?itakuwa hii ya NMB?