nguluvisonzo
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 515
- 71
Sehemu kama bank ilitakiwa kabla ya zoezi la kubadili mfumo wa kompyuta, activities zote zisimamishwe. Kama hilo halikufanyika basi huyo mtaalamu wa ICT amehusika moja kwa moja na wala wasihangaike kutafuta mchawi!
Activity zote zilisimama toka j'mosi mpaka kesho mchana isipokuwa ATM ndio ziko live kwa mujibu wa matangazo walirusha kwenye vyombo vya habari,Mawasiliano ya ATM ni tofauti na mfumo wanaotumia ndani,ni vitu viwili vinavyofanya kazi tofauti.