Wangemaliza kabisa kwa kumuondoa dada yetu farida
Mkuu Precise Pangolin
Mkono umeteleza kwenye keyboard? ulimaanisha sheikh Farid?Angalia uamsho wana hasira
Chama
Gongo la mboto DSM
Wangemaliza kabisa kwa kumuondoa dada yetu farida
Kwani wewe unawaza nini juu ya Ponda?
Kifo cha uhamsho kimeshafika na Pumzi imeshaanza kutolewa huku ndugu zao wakiwawekea Oxygen wapate kupuma uzur maana hali yao ni mbaya......
Katika hatua nyngne ambayo SMZ imeonesha kidogo makucha yake imeendesha msako mkali wa Bendera za Uhamsho na kuzishusha na kuondoka nazo, SMZ kutumia jeshi la polisi limekamata DVD zote na CD zinaonesha mambo ya Uhamsho.......tukio hili lilitokea pale Mlandege gari ya polisi ilpofka na kubeba kila kitu katka duka moja la wakala mkuu wa CD hizi maana ufanya biashara na kuuzwa nchi za Kiarabu na ulaya......
Ulinzi umeimarishwa Visiwani muda wote Jeshi la polisi linaonesha nguvu yake ambayo muda mrefu waliwalea Uhamsho sababu hawakupewa Ruksa....na mkakati uliopo ni kufutwa kabisa Uhamsho katka ramani ya Tanzania sababu ni Taasisi ya Kidini lakini inaingilia mamlaka ambayo si yake na kujenga chuki baina ya watu......
Ahsante SMZ maana waliwadharau sababu hamkuwapa CHAI
UMETUMWA na bwana wako Balozi Seif eddi ? Kushusha bendera haijasaidia kitu,wameshachelewa smz, uwamsho wameshawamsha wananchi kudai zanzibar huru,jua limeshachomoza.Kifo cha uhamsho kimeshafika na Pumzi imeshaanza kutolewa huku ndugu zao wakiwawekea Oxygen wapate kupuma uzur maana hali yao ni mbaya......
Katika hatua nyngne ambayo SMZ imeonesha kidogo makucha yake imeendesha msako mkali wa Bendera za Uhamsho na kuzishusha na kuondoka nazo, SMZ kutumia jeshi la polisi limekamata DVD zote na CD zinaonesha mambo ya Uhamsho.......tukio hili lilitokea pale Mlandege gari ya polisi ilpofka na kubeba kila kitu katka duka moja la wakala mkuu wa CD hizi maana ufanya biashara na kuuzwa nchi za Kiarabu na ulaya......
Ulinzi umeimarishwa Visiwani muda wote Jeshi la polisi linaonesha nguvu yake ambayo muda mrefu waliwalea Uhamsho sababu hawakupewa Ruksa....na mkakati uliopo ni kufutwa kabisa Uhamsho katka ramani ya Tanzania sababu ni Taasisi ya Kidini lakini inaingilia mamlaka ambayo si yake na kujenga chuki baina ya watu......
Ahsante SMZ maana waliwadharau sababu hamkuwapa CHAI
kichwa cha utomvu.Anyongwe!!!
Kwa dreams zako la alfajiri ?Wakifanikiwa kukifuta hiki kikundi itakuwa heri kwa Wazanzibar na Tanzania kwa ujumla.
ukome kabisa.
CHADEMA inaingiaje hapa?
Kifo cha uhamsho kimeshafika na Pumzi imeshaanza kutolewa huku ndugu zao wakiwawekea Oxygen wapate kupuma uzur maana hali yao ni mbaya......
Katika hatua nyngne ambayo SMZ imeonesha kidogo makucha yake imeendesha msako mkali wa Bendera za Uhamsho na kuzishusha na kuondoka nazo, SMZ kutumia jeshi la polisi limekamata DVD zote na CD zinaonesha mambo ya Uhamsho.......tukio hili lilitokea pale Mlandege gari ya polisi ilpofka na kubeba kila kitu katka duka moja la wakala mkuu wa CD hizi maana ufanya biashara na kuuzwa nchi za Kiarabu na ulaya......
Ulinzi umeimarishwa Visiwani muda wote Jeshi la polisi linaonesha nguvu yake ambayo muda mrefu waliwalea Uhamsho sababu hawakupewa Ruksa....na mkakati uliopo ni kufutwa kabisa Uhamsho katka ramani ya Tanzania sababu ni Taasisi ya Kidini lakini inaingilia mamlaka ambayo si yake na kujenga chuki baina ya watu......
Ahsante SMZ maana waliwadharau sababu hamkuwapa CHAI
Muhuni elikukosesha elimu, umekuwa basi jisomeshe mwenyewe .Safiiiiiiiiiiiiiiiiii;
sanaaaaaaaaaaaa genge la wahuni limevunjwa
Uamdho sio magaidi nikundi lililosajiliwa kihalali na hadi sasa ni kundi halali maana usajili wake haujafutwa. Hayo mambo ya kushusha bendera ni kulowesha chupi tu.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
kweli shule muhimu,kutembea pia kusoma,basi tembea tembea ili ujifunze.waarabu wameharibu nchi zao sasa wanataka iharibu zenji
hongera serikali wasagesage hao kwan hata boko haram walianza hivihivi
Siku zote serikali ilikuwa wapi au ndo mpaka achinjwe Afande ndio mnashtuka.Na hii radio imaan itafungiwa lini au mpaka isababishe mauaji.CCM bwana
wakristo wanaitwa MBWEHA? Huu ni upumbafu wa serikali iliyopo madarakani,MWANAHALISI ilipoandika ukweli ilifungiwa tukaambiwa ni uchochezi sasa hawa magaidi wanatukuzwa kwa nini?hapo ndipo ninapoona umuhimu wa Mkapa,CCM bwana.
Kifo cha uwamsho sio kifo cha nyoyo za wazanzibari,harakati zinaendelea za kudai zanzibar huru. hizo ni politics za kiafrika. its too late.sio kwamba Uhamsho hawajasajiliwa imesajiliwa kama Taasisi ya Dini ya Kislam ,sasa uhamsho kwa walyoyatenda inafutwa kushushwa bendera ni Ishara kwamba haitakiwi usiwe mbishi kama shipa la kijana boss wangi hivi kitakuwepo chama bil bendera?? Kushushwa bendera ni Ishara ya kifo cha uhamsho haipitwi mwezi utasikia imefutwa huo mkakati tayari umewiva wewe huna nguvu ya kuzuia maisha yako yamekushinda nguvu hutaiweza serikali
uamsho sio uislam.
islam is the religion of peace
Bado chadema
CIA wana-investigate if Uamsho group is linked to al-qaeda
Kifo cha uwamsho sio kifo cha nyoyo za wazanzibari,harakati zinaendelea za kudai zanzibar huru. hizo ni politics za kiafrika. its too late.