Bendera za Uamsho zashushwa Zanzibar nzima

Wakifanikiwa kukifuta hiki kikundi itakuwa heri kwa Wazanzibar na Tanzania kwa ujumla.
 
Safi sana... Imebaki radio imani ipigwe marufuku kuzungumzia au kuponda dini nyingine.. Wafanye yaoo
 
Kifo cha uhamsho kimeshafika na Pumzi imeshaanza kutolewa huku ndugu zao wakiwawekea Oxygen wapate kupuma uzur maana hali yao ni mbaya......

Katika hatua nyngne ambayo SMZ imeonesha kidogo makucha yake imeendesha msako mkali wa Bendera za Uhamsho na kuzishusha na kuondoka nazo, SMZ kutumia jeshi la polisi limekamata DVD zote na CD zinaonesha mambo ya Uhamsho.......tukio hili lilitokea pale Mlandege gari ya polisi ilpofka na kubeba kila kitu katka duka moja la wakala mkuu wa CD hizi maana ufanya biashara na kuuzwa nchi za Kiarabu na ulaya......

Ulinzi umeimarishwa Visiwani muda wote Jeshi la polisi linaonesha nguvu yake ambayo muda mrefu waliwalea Uhamsho sababu hawakupewa Ruksa....na mkakati uliopo ni kufutwa kabisa Uhamsho katka ramani ya Tanzania sababu ni Taasisi ya Kidini lakini inaingilia mamlaka ambayo si yake na kujenga chuki baina ya watu......

Ahsante SMZ maana waliwadharau sababu hamkuwapa CHAI
Ushahidi gani mwengine unahitajika kujua kwamba utekwaji nyara wa sheikh Farid na kuwekwa kizuizini masheikh wenzake ni jambao lililopangwa ili kuua uamsho na kuzima nguvu za waislamu.
Masheikh waachiwe haraka wasiteseke bure na bendera endeleeni kuteremsha.Mwenyezi Mungu mwenyewe atazipandisha kwa mikono yetu juu ya vichwa vyenu.Ogopeni dua ya mwenye kudhulumiwa.
 
Na radio Nuur hapa zanzibar pia imefungiwa nayo ilikua inaongoza kwa uchochezi huko Tanganyika poleni kama radio imani inaendelea kuwakera huku full burdani sasa. mr zaifu bado anacheka cheka tu huko, nahisi harufu ya Mwamunyage Davis kuongoza nchi.
 
uamsho ni chama cha kigaidi kama vile cuf kilivyo...vyote inabidi vipigwe marufuku na vifungiwe
 
Kifo cha uhamsho kimeshafika na Pumzi imeshaanza kutolewa huku ndugu zao wakiwawekea Oxygen wapate kupuma uzur maana hali yao ni mbaya......Katika hatua nyngne ambayo SMZ imeonesha kidogo makucha yake imeendesha msako mkali wa Bendera za Uhamsho na kuzishusha na kuondoka nazo, SMZ kutumia jeshi la polisi limekamata DVD zote na CD zinaonesha mambo ya Uhamsho.......tukio hili lilitokea pale Mlandege gari ya polisi ilpofka na kubeba kila kitu katka duka moja la wakala mkuu wa CD hizi maana ufanya biashara na kuuzwa nchi za Kiarabu na ulaya......Ulinzi umeimarishwa Visiwani muda wote Jeshi la polisi linaonesha nguvu yake ambayo muda mrefu waliwalea Uhamsho sababu hawakupewa Ruksa....na mkakati uliopo ni kufutwa kabisa Uhamsho katka ramani ya Tanzania sababu ni Taasisi ya Kidini lakini inaingilia mamlaka ambayo si yake na kujenga chuki baina ya watu......Ahsante SMZ maana waliwadharau sababu hamkuwapa CHAI
Huku kwetu bara tuna donda ndugu Chadema!! tunaomba Serikali isikubali kuchezewa na Chadema kwani kiongozi wao alitamka kuwa nchi hii haitatawalika na tunaona fujo zao kibao na kiburi cha viongozi wao!
 
wanajipanga wanasubili Ijumaa ifike ...zanzibar na bara hakutakarika!!! ktkt ya wk hawana ujanja.
 
Mkuu usjali kwani hivi soon labda na Radio Imaan ambayo ni ya kipepo na kishetani itafungiwa.
Pia kuna hili gazeti Al-nuur ambalo siku hizi linawaita Wakristo ni MBWEHA.

wakristo wanaitwa MBWEHA? Huu ni upumbafu wa serikali iliyopo madarakani,MWANAHALISI ilipoandika ukweli ilifungiwa tukaambiwa ni uchochezi sasa hawa magaidi wanatukuzwa kwa nini?hapo ndipo ninapoona umuhimu wa Mkapa,CCM bwana.
 
Muda mfupi uliopita nimeona kupitia itv, kibonzo cha Mpangala. Jamaa kaaandikwa 'Zenji' kwenye kanzu yake anakamua machozi mno. Analia kwa kukosa watalii.
 
SMZ wamegundua kuwa mbinu ya JK ya kuacha tatizo lijimalize hailipii, wameamua kukabili tatizo itakiwavyo.
 
Kifo cha uhamsho kimeshafika na Pumzi imeshaanza kutolewa huku ndugu zao wakiwawekea Oxygen wapate kupuma uzur maana hali yao ni mbaya......

Katika hatua nyngne ambayo SMZ imeonesha kidogo makucha yake imeendesha msako mkali wa Bendera za Uhamsho na kuzishusha na kuondoka nazo, SMZ kutumia jeshi la polisi limekamata DVD zote na CD zinaonesha mambo ya Uhamsho.......tukio hili lilitokea pale Mlandege gari ya polisi ilpofka na kubeba kila kitu katka duka moja la wakala mkuu wa CD hizi maana ufanya biashara na kuuzwa nchi za Kiarabu na ulaya......

Ulinzi umeimarishwa Visiwani muda wote Jeshi la polisi linaonesha nguvu yake ambayo muda mrefu waliwalea Uhamsho sababu hawakupewa Ruksa....na mkakati uliopo ni kufutwa kabisa Uhamsho katka ramani ya Tanzania sababu ni Taasisi ya Kidini lakini inaingilia mamlaka ambayo si yake na kujenga chuki baina ya watu......

Ahsante SMZ maana waliwadharau sababu hamkuwapa CHAI

Safi sana. Zoezi hili lilistahili kufanyika miaka iliyopita
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiiii;
sanaaaaaaaaaaaa genge la wahuni limevunjwa

Back
Top Bottom