Bendera za Uamsho zashushwa Zanzibar nzima

Kifo cha uhamsho kimeshafika na Pumzi imeshaanza kutolewa huku ndugu zao wakiwawekea Oxygen wapate kupuma uzur maana hali yao ni mbaya......

Katika hatua nyngne ambayo SMZ imeonesha kidogo makucha yake imeendesha msako mkali wa Bendera za Uhamsho na kuzishusha na kuondoka nazo, SMZ kutumia jeshi la polisi limekamata DVD zote na CD zinaonesha mambo ya Uhamsho.......tukio hili lilitokea pale Mlandege gari ya polisi ilpofka na kubeba kila kitu katka duka moja la wakala mkuu wa CD hizi maana ufanya biashara na kuuzwa nchi za Kiarabu na ulaya......Ulinzi umeimarishwa Visiwani muda wote Jeshi la polisi linaonesha nguvu yake ambayo muda mrefu waliwalea Uhamsho sababu hawakupewa Ruksa....na mkakati uliopo ni kufutwa kabisa Uhamsho katka ramani ya Tanzania sababu ni Taasisi ya Kidini lakini inaingilia mamlaka ambayo si yake na kujenga chuki baina ya watu......Ahsante SMZ maana waliwadharau sababu hamkuwapa CHAI

Ipotezwe kabisa kwasababu haifai hata kidogo
 
waarabu wameharibu nchi zao sasa wanataka iharibu zenji

hongera serikali wasagesage hao kwan hata boko haram walianza hivihivi
 
Siku zote serikali ilikuwa wapi au ndo mpaka achinjwe Afande ndio mnashtuka.Na hii radio imaan itafungiwa lini au mpaka isababishe mauaji.CCM bwana

Mkuu usjali kwani hivi soon labda na Radio Imaan ambayo ni ya kipepo na kishetani itafungiwa.
Pia kuna hili gazeti Al-nuur ambalo siku hizi linawaita Wakristo ni MBWEHA.
 
kifo cha uhamsho kimeshafika na pumzi imeshaanza kutolewa huku ndugu zao wakiwawekea oxygen wapate kupuma uzur maana hali yao ni mbaya......

Katika hatua nyngne ambayo smz imeonesha kidogo makucha yake imeendesha msako mkali wa bendera za uhamsho na kuzishusha na kuondoka nazo, smz kutumia jeshi la polisi limekamata dvd zote na cd zinaonesha mambo ya uhamsho.......tukio hili lilitokea pale mlandege gari ya polisi ilpofka na kubeba kila kitu katka duka moja la wakala mkuu wa cd hizi maana ufanya biashara na kuuzwa nchi za kiarabu na ulaya......

Ulinzi umeimarishwa visiwani muda wote jeshi la polisi linaonesha nguvu yake ambayo muda mrefu waliwalea uhamsho sababu hawakupewa ruksa....na mkakati uliopo ni kufutwa kabisa uhamsho katka ramani ya tanzania sababu ni taasisi ya kidini lakini inaingilia mamlaka ambayo si yake na kujenga chuki baina ya watu......

Ahsante smz maana waliwadharau sababu hamkuwapa chai


safi kabisa
kama taarifa hizi ni zakweli inaleta faraja sana
waendee zao kuzimu huko..
 
Haya sasa chadema na ccm kazi kwenu sasa
wanachama wapya haooo
ila ninapata faraja kua cdm watanufaika na mvunjiko huu wa uamsho
sababu si inafahamika??
Ni kule kulandana kwao kwa falsafa
i mean demonstrations n over expectations...!!
 
safi kabisa
kama taarifa hizi ni zakweli inaleta faraja sana
waendee zao kuzimu huko..

ndudu hiki ni kitu cha kweli waliopo zanzibar wanajua hilo na serikali imetangaza wazazi kuwazuia watoto kukaa katka makundi yanayofanya fujo maana hawana msalie mtume kwa sasa
 
Lyatonga Mrema akiwa Waziri wa Mambo ya ndani aliifuta BALUKTA baada ya fujo ya kuvunja mabucha ya nguruwe na hali ikatulia kabisa.
 
Duh kwani hawa magaidi walikuwa mpaka na flag,basi hatuna sirkali.

Uamdho sio magaidi nikundi lililosajiliwa kihalali na hadi sasa ni kundi halali maana usajili wake haujafutwa. Hayo mambo ya kushusha bendera ni kulowesha chupi tu.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Back
Top Bottom