Bendera za Uamsho zashushwa Zanzibar nzima

We punguwani kweli
Wewe wacha kulenga maneno machafu.zanzibar tafauti na nchi nyengne africa mashariki.asilimia 99.99 ya watu wake ni waislamu kwa hyo kushushwa kwa bendera na ikienda hadi uamsho ikafutwa haitosaidia kitu koz wazanzibar zaid ya asilimia 90 wanaikubali hyo jumuiya nahvyo na kwavile ni waislamu wenye kumuamudu mungu wa cku zote sie yule wajumapli na jumamosi tu habar zitaenezwa misikitini na hapo ndo mziki koz itakuwa hapana kiongoz tutajiongoza wenyewe kupitia misikitini mwetu.zanzibar first.
 
Back
Top Bottom