TANZIA Beki wa Kaizer Chiefs afariki dunia baada ya kupigwa risasi

Johannesburg Ni miongoni mwa majiji hatari duniani, inashika nafasi ya 5

Ndugu yangu aliwahi kunusulika mara 3 kupigwa risasi, aliwahi sema hatowaza au kutamani kuishi south africa pamoja na kuwa alikuwa na ajira ya kulipwa pesa nyingi yupo TZ na anaendele vizuri na maisha yake😔

Pole sana kwa kikosi cha kaizer 🙏
RIP mwamba 🕯
 
Wazulu ni kawaida Yao hawa jamaa fahari Yao ni kuua waafrika wenzao Cha kushangaza umoja wa Africa upo kmya
nchi nyingi sana ziliipambania hii south Africa kupata uhuru Leo vijana wa Huko wanajifanya mafia.
 
PICHA KUONESHA ALIYEKUWA BEKI WA KAIZER CHIEF

Beki wa Kaizer Chiefs Luke Fleurs amefariki dunia kwa kusikitisha baada ya kupigwa risasi wakati wa utekaji nyara.

Siwezi kuamini hili baada ya kumuona siku chache zilizopita, wakati wa huzuni ya ajabu, rambirambi zangu za dhati kwa wapendwa wake. 🕊️💔 RIP

==========

Beki wa kati wa Klabu ya Kaizer Chiefs, Luke Fleurs amefariki Dunia ikidaiwa alitekwa na Watu ambao bado hawajafahamika kisha ya kuuliwa kwa risasi.

Klabu ya Kaizer Chiefs imesema tukio hilo lilitokea Jijini Johannesburg na Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi.

Fleurs aliyekuwa na umri wa miaka 24 alitua klabuni hapo akitokea SuperSport United, Oktoba 2023.

---
Kaizer Chiefs defender Luke Fleurs has reportedly died on Wednesday night. Fleurs is said to have been shot and killed in Florida, in a botched car hijacking.

A source close to the situation confirmed the news to Sunday World on Wednesday night.

“Yes, it is true, Luke was gunned down in a hijacking. Sad, very said,” said the informant.

Said SA Police Spokesperson Lieutenant Colonel Mavela Masondo: “The police are waiting for information on the incident for now,” Masondo told Sunday World.
Hata sisi majanga haya tunayo,lakini, hawa wenzetu wapo level nyingine. Mtaani kwao ni kwa moto wallahi.
 
Huko kuendekeza Haki za Binadamu za kipumbavu ndo kunakoigharimu serikali ya SA.

Kuna yule mhuni wao aliyetoroka jela (Bester sijui Bestina) akiwa na ka-demu kake ka daktari kajinga kajinga, alijichanganya kukimbilia Tanzania. Alipokamatwa akawa anawajibu kunya akina Afande Mzwafalu wa Tz akidhani Tz inamtazama mhalifu kwa hicho la Haki za Binadamu. Kilichompata hatakuja kusahau. Shwaini zake!

atasimulia wajukuu kama atakuepo! Huku unapigwa kama mbwakoko hamna cha mwanasheria wala nani haki ya binadamu haipo
 
Ga
Hakuhitaji ubabe. Anatakiwa waende akina sheikh Mazinge na masheukh wengine wakatoe Daawa ili jamii ijue Diana ya kuumbwa kwake
Dawa ya kukata mikono?wanaweza wakawa na amani bila shuruti kama nchi za scandinavia.
 
Sijachanganya!, labda tu hujanielewa!, nachomaanisha ni kwamba tukio hilo lingetokea Saudi Arabia , Pakistan, au Yemen au Sudan mngekuwa mnawashambulia waislamu hapa kwamba mafundisho ya dini yao ndio yanasababisha wauane. Lakini sioni ikitokea mauaji katika NCHI za wagaratia au wapagani kwanini hamsemi kuwa ugalatia wao au upagani wao ndio unaowafanya wauane?!
Ona sasa kwani hao wahalifu hua wanaua kwa kutumia jina la allah kama nyie?hao ni wahalifu tu.Kobazi ndio wenye kauli mbiu ya "waislam wote ni ndugu"haijalishi ni gaidi,jambazi,mwizi...uislam ni utamaduni wa kiarabu mnaweza mkawa sawa kusema wote ni ndugu!
 
SA ishakuwa Marekani ya Afrika. Hakuna nchi za kipumbavu Dunia hii kama Marekani na Afrika Kusini, ukiacha uchumi imara wa nchi hizo mbili kwenye mabara husika, umiliki wa silaha za moto umerahisishwa sana.
Popote pale vijana weusi wanaanza kujisifia usela Hakuna amani
 
Back
Top Bottom