TANZIA Beki wa Kaizer Chiefs afariki dunia baada ya kupigwa risasi

View attachment 2953318
PICHA KUONESHA ALIYEKUWA BEKI WA KAIZER CHIEF

Beki wa Kaizer Chiefs Luke Fleurs amefariki dunia kwa kusikitisha baada ya kupigwa risasi wakati wa utekaji nyara.

Siwezi kuamini hili baada ya kumuona siku chache zilizopita, wakati wa huzuni ya ajabu, rambirambi zangu za dhati kwa wapendwa wake. RIP

---
Kaizer Chiefs defender Luke Fleurs has reportedly died on Wednesday night. Fleurs is said to have been shot and killed in Florida, in a botched car hijacking.

A source close to the situation confirmed the news to Sunday World on Wednesday night.

“Yes, it is true, Luke was gunned down in a hijacking. Sad, very said,” said the informant.

Said SA Police Spokesperson Lieutenant Colonel Mavela Masondo: “The police are waiting for information on the incident for now,” Masondo told Sunday World.
hiyo nchi haifai kabisa,mauji kila kona
 
Wa south wana shida

Lucky Dube
A.K.A
Zahara
Huyo beki na wengine wengi bila kusahau xenophobia
 
Kuna mtu alileta uzi humu eti NCHI ZENYE WAISLAMU WENGI NDIZO ZENYE VURUGU. Sasa sijui huko kusini mwa aftika nako kuna waislamu % ngapi?! Nachomaanisha hapa ni upumbavu wa baadhi ya watu ambao ikitokea mwislamu kakosea hawamwangalii kama binadamu mwingine anayeweza kukosea ila wanalifanya kosa lile kuwa ndio mrengo au sera za dini yake!! Lakini kosa hilohilo likifanywa na mtu wa dini tofauti na uislamu huchukuliwa kuwa ni tatizo lake binafsi bila kuhusisha kosa hilo na dini anayoifuata kuwa imechangia kumfanya kuwa na mrengo wa uhalifu. Sasa swali ni kwa wagalatia mnaosema eti uislamu umebeba sera za ukatili na mauaji na ugaidi , JE HAO WAZULU NI DINI GANI ILIYOWAFUNDISHA KUWA NA UKATILI NA UGAIDI??!!.
Una changanya mada
 
SA ,JOZ ni hatari sana kuishi hasa ukiwa na Mpunga.


"Who they think they car jackin,You dump and a dump, I slumped and I slump,They mad my car's like an elephant, the trunk in the front"-Camron

"I seen the niqqa throw that diamond up before them shots was fired" - Camron

CM.jpg



CMLMB.png
 
Tatizo wanawalea kwa kivuli cha haki za binadamu.
Ilibidi wahalifu wafanyiwe msako wa hatari nchi nzima.
Huko kuendekeza Haki za Binadamu za kipumbavu ndo kunakoigharimu serikali ya SA.

Kuna yule mhuni wao aliyetoroka jela (Bester sijui Bestina) akiwa na ka-demu kake ka daktari kajinga kajinga, alijichanganya kukimbilia Tanzania. Alipokamatwa akawa anawajibu kunya akina Afande Mzwafalu wa Tz akidhani Tz inamtazama mhalifu kwa hicho la Haki za Binadamu. Kilichompata hatakuja kusahau. Shwaini zake!
 
Huko kuendekeza Haki za Binadamu za kipumbavu ndo kunakoigharimu serikali ya SA.

Kuna yule mhuni wao aliyetoroka jela (Bester sijui Bestina) akiwa na ka-demu kake ka daktari kajinga kajinga, alijichanganya kukimbilia Tanzania. Alipokamatwa akawa anawajibu kunya akina Afande Mzwafalu wa Tz akidhani Tz inamtazama mhalifu kwa hicho la Haki za Binadamu. Kilichompata hatakuja kusahau. Shwaini!
South Africa uhalifu kukomeshwa inawezekana sema tu kule kwao uongozi wa kisheria kiukweli wapo mbali, si unaona hata ma Rais wao wanawashtaki na kuwafunga wamalizapo uongozi.
 
Una changanya mada
Sijachanganya!, labda tu hujanielewa!, nachomaanisha ni kwamba tukio hilo lingetokea Saudi Arabia , Pakistan, au Yemen au Sudan mngekuwa mnawashambulia waislamu hapa kwamba mafundisho ya dini yao ndio yanasababisha wauane. Lakini sioni ikitokea mauaji katika NCHI za wagaratia au wapagani kwanini hamsemi kuwa ugalatia wao au upagani wao ndio unaowafanya wauane?!
 
Sijachanganya!, labda tu hujanielewa!, nachomaanisha ni kwamba tukio hilo lingetokea Saudi Arabia , Pakistan, au Yemen au Sudan mngekuwa mnawashambulia waislamu hapa kwamba mafundisho ya dini yao ndio yanasababisha wauane. Lakini sioni ikitokea mauaji katika NCHI za wagaratia au wapagani kwanini hamsemi kuwa ugalatia wao au upagani wao ndio unaowafanya wauane?!
Hapa tunaongelea crime ya mtaani sio ugaidi
 
Back
Top Bottom