bei za nyumba na plots tanzania

lily

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
229
26
WAO! INAONEKANA tz NI EXPENSIVE PLACE TO LIVE IN THE WORLD! THIS IS A SHOCKING! BEI ZA NYUMBA NA PLOTS ZINATISHA! ETI UTAKUTA PLOT 500 SQURE METER KIJITONYAMA MILION 15O. 3 BEDROOM HOUSE IN SINZA MILINON200. MBEZI MILION 400, MASAKI , MSASANI OYSTBAY ETC MPAKA BILION JAMANI WHATS GOING ON? IN UK UTAPATA 2 BEDROOM APPARTMENT ENEO ZURI TU KWA POUND ELFU 60- 100. IN USA NDIO KABISA 3 BEDROOM A HOUSE DOLA ELFU 50 MPAKA MIA UTAPATA TENA MIAMI! YAANI NEVER BUY ANYTHING IN TZ BETTER NI INVEST NJE.
 
Nafanya kazi na Rafiki yangu Muhindi anatoka Mumbai.
Juzi hapa kamalizia Nyumba yake ya Ghorofa 3 Square feet 6800 kwa $180,000.00
Baked bricks and Cement.( sorry kwa Tanzania ni ghrofa 2)
Hii ni bei ya contractor.
Kiwanja cha 25X30 meters alikinunua $25,000 miaka 7 iliyopita ambacho anadai sasa hivi kiko $35,000

Kwetu Tanzania fedha hiyo haitoshi kununua Kiwanja cha maana

Kwetu ujenzi ni aghari kwa sababu ya WIZI uliokithiri na Utamaduni unaojengeka kwamba ni lazima uibe ili uwe mtu. Pia Watanzania tunadhani kulipa Top Dola ni Dalili ya Utajri na maendeleo.
 
Kwetu ujenzi ni aghari kwa sababu ya WIZI uliokithiri na Utamaduni unaojengeka kwamba ni lazima uibe ili uwe mtu.

Ni ugonjwa wa jamii yetu. Kijana akifanya kazi kwa kiaka miwili akaporomosha jumba wote tunamsifu - badala ya kushangaa kapata wapi hizo fedha. Karibu wote tunachangia moral decay ya taifa letu.
 
Tanzania kweli nashangaa saana hizi bei za nyumba eti milioni 200, 300 ukiiona house yenyewe utatapika, Tz imeoza hakuna udhibiti kila mtu anajipangia tuu
 
Biashara huria ndugu. Hata mimi nilienda sehemu nikanunua heinken 1 kwa shilingi elfu 6500 wakati mtaani 2500. Kwa maana hiyo ni vizuri tukaachana na ulimbekeni kuwa viwanja au nyumba za maana zipo osterbay, masaki, sinza, mbezi beach au mikocheni. Kuna sehemu nyingine Mbezi ya kimara, tegeta, bunju, mbagala, kigamboni, buza, kisiju etc huku viwanja vya ghali sana 25X25 ni 5mln. Mimi nauza kiwanja mbezi ya kimara 35x35 robo hekari kwa Tsh 5ml tu umbali wa km 8 mashariki mwa morogoro road, maji ndiyo hayajafika, umeme nguzo mbili. achana na kubanana huko kwenye giti kali.
 
Sio lazima wote tujenge mijini . Tanzania watu wanaexagerate market utadhani ardhi imeisha. Loh Eti hata Mwarusha anaelala kwenye mbavu za mbwa atakuambia kiwanja mill 200
 
Tatizo la watu kukimbilia maeneo hayo uliyoyataja na kupata maji na umeme kwa rahisi. Kama hizo huduma za jamii zingeweza kupatikana dar yote hakuna sababu ya kwenda kuishi maeneo hayo. kwa maama hiyo kazi kubwa ni ku-mobilize watu wote wa dar waandamane na kupigania huduma za jamii bora. zaidi ya hapo maeneo yaliyotaja yataendelea kuwa more expensive.
 
Halafu mjiulize Tanzania tuna ardhi kubwa ambayo hata matumizi yake yametushinda lkn bei ziko hivyo..... Japo madalali sometimes wana-inflate lkn readiness ya wanunuzi inachangia........... Issue za ardhi Tanzania are too complicated..........
 
Tatizo la watu kukimbilia maeneo hayo uliyoyataja na kupata maji na umeme kwa rahisi. Kama hizo huduma za jamii zingeweza kupatikana dar yote hakuna sababu ya kwenda kuishi maeneo hayo. kwa maama hiyo kazi kubwa ni ku-mobilize watu wote wa dar waandamane na kupigania huduma za jamii bora. zaidi ya hapo maeneo yaliyotaja yataendelea kuwa more expensive.
nakuunga mkono Ndg,tatizo ni miundo mbinu ndiyo inafanya bei kutofautiani kutoka sehemu moja kwenda nyingine,

Miundo mbinu hasa maji na umeme ukiwa sawa kote bei sitashuka zenyewe na kuwa sawa kote
 
WAO! INAONEKANA tz NI EXPENSIVE PLACE TO LIVE IN THE WORLD! THIS IS A SHOCKING! BEI ZA NYUMBA NA PLOTS ZINATISHA! ETI UTAKUTA PLOT 500 SQURE METER KIJITONYAMA MILION 15O. 3 BEDROOM HOUSE IN SINZA MILINON200. MBEZI MILION 400, MASAKI , MSASANI OYSTBAY ETC MPAKA BILION JAMANI WHATS GOING ON? IN UK UTAPATA 2 BEDROOM APPARTMENT ENEO ZURI TU KWA POUND ELFU 60- 100. IN USA NDIO KABISA 3 BEDROOM A HOUSE DOLA ELFU 50 MPAKA MIA UTAPATA TENA MIAMI! YAANI NEVER BUY ANYTHING IN TZ BETTER NI INVEST NJE.

nina milioni 200
wajameni mie nataka kurudi bongo kufanya business, nina mtaji wa kama milion200 hivi, je ni biashara gani ambayo itanifaa? nilikuwa nawaza kufungua warehouse ya kuhuza vitu vya ujenzi lakini sijui pa kuanzia any ideas pls. niko abroad! thanx

Mkuu mbona unatuchanganya we sio ulisema unataka kuja kuwekeza tz na kwa hiyo leo tena umezuka na jambo jipya au ile 200ml umeshairamba yote te te te hehe hehe
 
WAO! INAONEKANA tz NI EXPENSIVE PLACE TO LIVE IN THE WORLD! THIS IS A SHOCKING! BEI ZA NYUMBA NA PLOTS ZINATISHA! ETI UTAKUTA PLOT 500 SQURE METER KIJITONYAMA MILION 15O. 3 BEDROOM HOUSE IN SINZA MILINON200. MBEZI MILION 400, MASAKI , MSASANI OYSTBAY ETC MPAKA BILION JAMANI WHATS GOING ON? IN UK UTAPATA 2 BEDROOM APPARTMENT ENEO ZURI TU KWA POUND ELFU 60- 100. IN USA NDIO KABISA 3 BEDROOM A HOUSE DOLA ELFU 50 MPAKA MIA UTAPATA TENA MIAMI! YAANI NEVER BUY ANYTHING IN TZ BETTER NI INVEST NJE.

Kuna sabubu nyingi ambazo zinasabisha bei kubwa za viwanja na nyumba zikiwemo

  • Nguvu ya soko, ni sehemu chache sana kwa DSM ambapo viwanja vimepimwa na kupata hati miliki. Wanunuzi wengi wanapata confidance pale wanaponunua nyumba zenye hati kwani wana uhakika wananunua kitu halali kisheria na pia wanaweza kutumia kupata mkopo. Baadhi ya benki hivi sasa zinatoa mortgage finance na masharti muhimu ni lazima kiwanja kiwe na hati na pia wanachagua maeneo ya kutoa hiyo mikoo ya nyumba hapa DSM. Hivyo viwanja vichache vyenye hati vinagombewa na wanunuzi wengi.
  • Pia suala la miundo mbinu ya barabara, maji na usalama wa raia. Sehemu nyingi za DSM miundo mbinu hii ni mibovu, na sehemu chache zilizo na miundo mbinu mizuri inashindaniwa na wanunuzi wengi wa tabaka la kati na la juu kiuchumi.
Ni muhimu sana kwa serikali kuharakisha upimaji wa viwanja na upatikanaji wa hati hasa kwa maeneo ambayo hayajapimwa na hayana hati miliki kama vile Kimara, Mbezi Luisi na Kibamba ili wananchi wengi wamilikishwe kisheria maeneo yao na wale wanao nunua wapate wigo mkubwa wa maeneo ya ununuzi.
 
Bongo mafisadi wameharibu the Price System ya Properties

Price ni kubwa kuliko Value

We unaona bei kubwa wenzio wananunua na wananunulia watoto wao wa chekechea
 
I was also looking for a while and then i gave up.

Prices are beyond ridiculous. I would rather buy property outside the country.
 
Ni kweli wapendwa kama walivyosema wanajamvi wengine tusipende kujazana na kusongamana maeneo ya masaki, oysterbay nk kwenye bei chafu, kuna maeneo nje ya mji ambako hakuna kunyang`anyana hewa, kuna rafika yangu ametangaza kuuza kiwanja chake kipo Tuangoma ukubwa wa kati kwa sh 7m, hadi sasa hajapata mteja pamoja na kutaja bei ndogo.
 
Tatizo la watu kukimbilia maeneo hayo uliyoyataja na kupata maji na umeme kwa rahisi. Kama hizo huduma za jamii zingeweza kupatikana dar yote hakuna sababu ya kwenda kuishi maeneo hayo. kwa maama hiyo kazi kubwa ni ku-mobilize watu wote wa dar waandamane na kupigania huduma za jamii bora. zaidi ya hapo maeneo yaliyotaja yataendelea kuwa more expensive.

Nakubaliana na wewe mkuu. Inabidi sasa watu tuanze kudai huduma bora kwa nguvu ya umma. Viongozi wa jiji la Dar wanamlalamikia Magufuli kuwa atawakosesha mabilioni ya shilingi kutokana na agizo lake la kuondoa mabango ya matangazo kwenye road reserves, je hayo mabilioni yote siku zote wanafanyia nini? Mbona huduma za jamii ni mbovu kiasi hicho? Mbona jiji la Dar ni chafu kiasi hicho? Ina maana mapesa yote hayo huishia mifukoni mwa watu.
 
hamna wanunuzi hapa,maana nahisi kwa hilo eneo na hali ilivyo sasa kama rahisi kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom