bei za nyumba na plots tanzania

The main question tujiulize ni kwamba Jee is this a buble? Au hii price imekuwa driven na pesa ya EPA? Hizi lazima ziwe benchmark za kudetermine house market ya Tanzania.

Ukweli ni kwamba Bank nyingi sasa zinatoa loan kwa ajili ya ujenzi, ninacho ogopa ni kwamba default rate ikianza kuongezeka hili swala linaweza kuwa nightmare kwa nchi, nakubaliana na wale wanao sema demand and supply lakini tukumbuke ya kwamba matajiri wachache wana drive hii price juu. Madhara ni kwamba middle family wanashindwa au watacollapse siku moj.
 
Hiyo Real Estate ya bongo siku moja it-go bust!!
 
kwa walio ulaya + usa, housing prices hazifanani na huko nje,so throw out your ulaya forumulas on housing prices.
kwani utakuta nyumba ipo mikocheni inauzwa milioni200 jirani yake ni nyumba ya zamani ya milioni 25,ukienda kijitonyama its the same,ukienda mbezi uswazi pia ipo,
In short bongo value ya nyumba inategemea muuzaji anamuonaje mmnunuzi,Madalali huwa ni waongo sana na sometimes wanatumia nguvu za giza to conduct their business and convincing Tricks.
The solution to this is:-
1.mlio nje mjipange kwa umoja,mnunue eneo kubwa na kutengeneza a gated community,with own police station,hospital,umeme and water supply .
2 .ukirudi bongo kanunue shamba nje ya mji then jenga makazi,ila jiandae na majambazi
3.kwa sasa mji wa Dar umepanuka sana,eneo lililobaki ni kigamboni ,huko bado unapata kiwanja for 5million and above ,ukitaka upande wa ubungo ujiandae for 10km from the main road na hapo ni kuanzia mbezi mwisho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom