Bei ya Nokia Lumia 800 Tz

sayicom

Member
Jul 2, 2011
66
1
Habari wana Jf nimetokea kuipenda simu hii ya Nokia Lumia 800 sijui hapa Tz yetu hususan dar nitapata kwa shilling ngapi?
 
pia nataka lumia 720 mpya au used ni bei gan hizi here is ma no. 0752975953 cash ninayooooo
 
Msinunue Lumia zente jina linaloishia na 00 yaani 700, 600,800,900. Hizi zinatumia Windows Phone 7.x ambayo haina support ya USSD menu, ile system ya m-pesa na menu kama za voda za huduma kwa ujumla. Nunueni zinazoishia na 20 kama 820,720 , 920 hizi zinatumia Windows Phone 8 ambayo ina full support ya USSD. WP7 haziwezi kuwa updated kutumia WP8.
 
niliona bei za 520 na 720 east africa

bei za lumia 720
kenya inauzwa 29,000
tanzania inauzwa 654,000
uganda inauzwa 1,035,000

na lumia 520 inauzwa hivi
16,000 kwa kenya
355,000 tanzania
575,000 uganda

nikaconvert hela za kenya kuja kibongo
lumia 720 kenya inauzwa 522,000
lumia 520 kenya inauzwa 288,000

hapo unaona kuna tofauti zaidi ya laki na 20 kwenye lumia 720 na kama 70,000 kwa lumia 520

so kwa kenya ni rahisi zaidi

sjajua bei za madukani zipoje. hizo ni bei za midcom
 
Msinunue Lumia zente jina linaloishia na 00 yaani 700, 600,800,900. Hizi zinatumia Windows Phone 7.x ambayo haina support ya USSD menu, ile system ya m-pesa na menu kama za voda za huduma kwa ujumla. Nunueni zinazoishia na 20 kama 820,720 , 920 hizi zinatumia Windows Phone 8 ambayo ina full support ya USSD. WP7 haziwezi kuwa updated kutumia WP8.

Mkuu mimi nina Samsung SGH-i917 ipo hivihivo haisupport USSD menu wala cant access market place. Any help of how to access market place?
 
Back
Top Bottom