Beautiful white City

mmm jiji gani hili??............... limependeza kweli................ dah unanikumbusha mambo ya winta afrodenzi............. na hiyooooo inakuja kwa kazi miezi ya dec-march............. duh, kwa sasa tunapigwa summer tu mpendwa, watu tunavuna nguo siku hizi,................ totoz ndo usiombe mpendwa, paja paja tu suku hizi, takko takko tu, nje nje utadhani hawana wazazi!!................ ikifika hiyo winta ni gubigubi tu kama tunapanda mwezini!!............. kazi ipo nchi za watu jamani................ kumbe kwetu kuzuri, hatuna ma extremes ya weather namna hii!!...................
 
du umenena mkuu, hapa ni paja kwa kwenda mbele, ila subiri hiyo aisikilimu ianza mwezi wa dec mpaka wa may, kudadadeki, utadhani wary wote wamenenepa, layers za kufa mtu, teh teh (layers=kuvaa nguo kadhaaa kuogopa baridi)
 
mmm jiji gani hili??............... limependeza kweli................ dah unanikumbusha mambo ya winta afrodenzi............. na hiyooooo inakuja kwa kazi miezi ya dec-march............. duh, kwa sasa tunapigwa summer tu mpendwa, watu tunavuna nguo siku hizi,................ totoz ndo usiombe mpendwa, paja paja tu suku hizi, takko takko tu, nje nje utadhani hawana wazazi!!................ ikifika hiyo winta ni gubigubi tu kama tunapanda mwezini!!............. kazi ipo nchi za watu jamani................ kumbe kwetu kuzuri, hatuna ma extremes ya weather namna hii!!...................

du umenena mkuu, hapa ni paja kwa kwenda mbele, ila subiri hiyo aisikilimu ianze mwezi wa dec mpaka wa may, kudadadeki, utadhani wary wote wamenenepa, layers za kufa mtu, teh teh (layers=kuvaa nguo kadhaaa kuogopa baridi)
 
Nikiangalia miji kama hii napata hamu ya kuhama nilipo, mji utasema Yerusalemu?
 
I love Pics... especially beautiful ones... appreciated....
 
mmm jiji gani hili??............... limependeza kweli................ dah unanikumbusha mambo ya winta afrodenzi............. na hiyooooo inakuja kwa kazi miezi ya dec-march............. duh, kwa sasa tunapigwa summer tu mpendwa, watu tunavuna nguo siku hizi,................ totoz ndo usiombe mpendwa, paja paja tu suku hizi, takko takko tu, nje nje utadhani hawana wazazi!!................ ikifika hiyo winta ni gubigubi tu kama tunapanda mwezini!!............. kazi ipo nchi za watu jamani................ kumbe kwetu kuzuri, hatuna ma extremes ya weather namna hii!!...................
Hahahaha lolohhPolee naona umeichukia winter ajili ya Mavazi .... winter ina raha yake lakini.. Snow fight, skiing, snow boarding etc..Teh teh teh Naona wazafagilia bikini ma hizo Swimsuit lolz safi..Nadhani wajua kuna kipande Cha dunia sasa ni winter tenaMid winter ...Nimependa na nimefurahishwa na comments Yako santee :)
 
du umenena mkuu, hapa ni paja kwa kwenda mbele, ila subiri hiyo aisikilimu ianze mwezi wa dec mpaka wa may, kudadadeki, utadhani wary wote wamenenepa, layers za kufa mtu, teh teh (layers=kuvaa nguo kadhaaa kuogopa baridi)
Dahhhh Hongereni mnaopata white X- mass.. :)
 
ila jamani, winta kama ya dec-April huko kaskazini mwa ulaya , marekani na asia, usiombe kukutana nazo, yyani kutoka nje ni kama kujichovya kwenye ziwa la moto! unakuta magari madogo yamefunikwa kabisa na barafu, mabwawa yameganda maji, barabara zinapigwa maji ya moto na magreda yanapita kukokota snow, miti, maua, vyoote vimeng'ara kwa weupe! kweli Mungu aliumba jamani, acheni Mungu aitwe Mungu!

Glory to God!
 
Mimi ni mwafrika sana tu, lakini najiuliza kama Mungu angepanga originaly waafrika ndio waishi huko kwenye sehemu zenye barafu hivyo sijui ingekuwaje, nadhani vizingizio vya kutoendelea vingekuwa vingi kweli kweli.
 
Hahahaha lolohhPolee naona umeichukia winter ajili ya Mavazi .... winter ina raha yake lakini.. Snow fight, skiing, snow boarding etc..Teh teh teh Naona wazafagilia bikini ma hizo Swimsuit lolz safi..Nadhani wajua kuna kipande Cha dunia sasa ni winter tenaMid winter ...Nimependa na nimefurahishwa na comments Yako santee :)

haha, hapo kwenye bold, ni kweli kuna raha yake,............ unajua wenzetu upstairs wako fiti sana, ni wabunifu kiasi kwamba hata kisago cha winta kimebuniwa michezo yake.............. kuna sehemu sehemu huwa kuna mashindano ya kuogelea kwenye maji baridi wakati wa winta, kuna mashindano ya kuteleza kwenye snow na maji yaliyoganda, kuchezesha wanyama kwenye snow kama vijibwa nk.............. na kwingine wanajenga huts kwa barafu na wana-attract watalii kibao wanakusanya dola tu.............

ila mkuu winta bana ni noma....... hata kuchungullia nje ni kwa machale............... yaani baridi inakuwa kama inaunguza duh!........... utafikiri unaishi kwenye friza!!!!!!!!........... bora summer bana.......... at least utajiri wa figaz unaonekana live.............

thanks for the pic.............. its so beautiful!!................
 
mmmmhhh haya bwana mimi bado napenda winter sana ...
kwa jinsi tu ilivyo si kila nchi au kila mtu duniani amepata bahati
ya kuona winter barafu kunyesha sana sana twaona tu mvua ya mawe...lolz..
mmhhh nilichokusoma ni wewe tu unaogopa baridi ... Na unapenda
zaidi summer ajili ya ma bikini , sijui volleyball in the beach lolz..
teh teh teh teh sio mbaya kabisa .......i .....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom