Voice of Wisdom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 537
- 240
heshima kwa wakuu wote mliomo humu jamvini. mi ni kijana wa kitanzania nimesoma diploma ya customs and tax management kilichpo chini ya TRA na nigependa kujiendeleza na masomo ila kwa njia ya mtandao ( Distance learning)
kuna jambo ningependa kufahamu kuhusu chuo kikuu huria cha Tanzania
kuna jambo ningependa kufahamu kuhusu chuo kikuu huria cha Tanzania
- je kwa kozi nilizotaja hapo juu nitakuwa nasoma ili kupata elimu au ili kuonekana na mimi nina digri?
- je kama chuo huria cha tanzania hakiwezi kunifanya nipate, ni nchi chuo gani huria katika nchi yeyote ile naweza soma elimu huria katika fani tajwa