Open University of Tanzania

Cainan

JF-Expert Member
Jun 14, 2017
424
488
Habarini za kazi wapendwa wote
Naomba kufahamishwa kuhusiana na utaratibu au elimu ya chuo tajwa hapo juu

Ningependa kusoma Moja ya kozi , as for now I'm interested in parsuing bachelor of ICT

Kikubwa zaidi kilichonivutia ni ya kuwa elimu yake hutolewa as distance learning kama sijakosea

Mwenye details zaidi kuhusiana na hiki chuo naomba hatujulishe mana unaweza soma huk unafanya shughuli nyingine
 
Experience ni kwamba utasoma huku unaendelea na shughuli zako za kila siku, mifumo yao ya darasa inapatikana kweny mtandao unaitwa Moodle kila kitu kuanzia materials, discussions, assignments na interactions na mwalimu utakutana nazo humo, ni mfumo ambao unaweza ukadownload na kuendelea na maswala mengine hata kama haupo online, pia ada zao ni rahisi ukilinganisha na vyuo vya kawaida! Ukimaliza vyeti utakachopata kwa kozi yako ina'standard ile ile kama ya vyuo vingine!
Na wana'magroup yao whatsap na telegram kwa ufafanuzi na events zingine zinazoendelea ya vyuo!
Kwenye mitihani ya End of semester unaenda chuoni au kwenye vituo walivyovisajil kwa ajili ya kufanya mitihani hiyo physically!
Udahili unafanyika kama taratibu ya vyuo vingine, kwa maelezo cheki website yao watafute!
All the best...
 
Thanks much brother
 
Habari za leo vipi kuhusiana na research kwa postgraduate degree (masters) hawasubui kama vyuo vingine vyenye majina makubwa?
 
Kuna jamaa yangu alimaliza course work muda mrefu akafanya research yake yaani dissertation akakusanya lakini sasa ni mwaka wa tano hajagraduate masters yake, hii inanipa wasiwasi chuo hiki kikawa na usumbufu kama vyuo tulivyovizoea. Naomba unihakikishie ili ninapoanza nisije jutia maamuzi yangu ya kusoma open University
 
Kwa kozi ya ICT nadhani ni lazima uhudhirie darasani kama vyuo vingine, vivyo hivyo kwa kozi za computer science na data management.
 
Daily au imekaaje ..Kuna ulazima gani wa kozi ya ICT kuwepo darasan
 
Daily kwa mujibu wa ratiba, labda huenda kwa nature ya kozi yenyewe ilivyo.
 
Experience ni kwamba utasoma huku unaendelea na shughuli zako za kila siku, mifumo yao ya darasa inapatikana kweny mtandao unaitwa Moodle kila kitu kuanzia materials, discussions, assignments na interactions na mwalimu utakutana nazo humo, ni mfumo ambao unaweza ukadownload na kuendelea na maswala mengine hata kama haupo online, pia ada zao ni rahisi ukilinganisha na vyuo vya kawaida! Ukimaliza vyeti utakachopata kwa kozi yako ina'standard ile ile kama ya vyuo vingine!
Na wana'magroup yao whatsap na telegram kwa ufafanuzi na events zingine zinazoendelea ya vyuo!
Kwenye mitihani ya End of semester unaenda chuoni au kwenye vituo walivyovisajil kwa ajili ya kufanya mitihani hiyo physically!
Udahili unafanyika kama taratibu ya vyuo vingine, kwa maelezo cheki website yao watafute!
All the best...
Dah umenimotivate sana ngja nianze mpango wa ku apply
 
ila ada zao ni juu sana
Kwa Bachelor of Laws ni kiasi gani kwani? maana wao wanafundisha kwa course unit ambapo mfano kwa Bachelor of Laws kuna course uits 12 na kila moja ni elfu 60 ambapo unafanya 60,000 *12 unapata kama 720,000/= ambapo kuna ukakasi ni kuwa kila unapoenda field wanasema ni shilingi 100,000/= hapa ndo sijapa ufafanuzi japo naendelea kufanya tafiti.

Angalizo.
Wanafunzi mjue kuwa mnapoomba vyuo maana yake ni tayari umeingia mkataba na chuo husikia hivyo ni muhimu kusoma mambo mbali mbali yahusiyo chuo kabla ya kuomba udahili mfano kusoma by-laws ,mfumo wa malipo ya ada n.k
 
hiyo ni hesabu yako Open univeristy ina gharama kubwa sana kuliko unavyo fikiri zipo course ukauta zina unit 3 na kila unit ni 90000 cha msingi ujipange tu otherwise utachukua ata miaka 5 kumaliza
 
Back
Top Bottom