Kauli ya Mbunge wa CCM Mh. Festo Sanga yapingwa vikali.
BAWACHA yasisitiza kuwa CHADEMA inaongozwa na katiba hivyo mbunge wa CCM Mh. Festo Sanga atulie na kuacha propaganda katka kikao cha bunge kinachoendelea mjini Dodoma bali ajikite kujadili mambo ya maana kwa wananchi.
Ndugu Festo Sanga wakati akichangia hoja Bungeni kwamba, nanukuu, "Haiwezekani chama kikubali ruzuku lakini kiwakatae wabunge wake".