BAVICHA yazidi kujitanua ULAYA

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Heche na Katibu Mkuu wake Deogratius Munishi wamealikwa na Baraza la vijana la chama tawala nchini Ujerumani kuhudhuria mkutano wake mkuu.
Vijana hao wa BAVICHA wamealikwa kama wawakilishi kutoka Tanzania na Africa kwa ujumla.Pia wamepewa heshima kubwa ya kuhutubia mkutano huo mkuu.
Mkutano mkuu huo utahudhuriwa na Chancellor wa Ujerumani Bi. Angel Markel.
 
mkuu mimi ni mwanachama wa chadema,kujitanua ulaya inasaidia kuingiza chadema madarakani?kwa nini msihangaikie kujitanua mikoa yote tanzania the ulaya will follow??
 
Twanga kotekote mkuu.Sidhani kama huelewi CDM inavyotikisa kila kona.Huyu Heche alikuwa ziarani vijijini Kagera ndio akapaa kuelekea bara Ulaya.
 
Sijui yule mfuasi wa Shibuda Juliana Shonza anajisikiaje.

Mkuu nadhani kwao tumbo joto kwani wakiskia Heche basi siku nzima watashinda fcbk kutoa povu but hapa watakuja tu mda.

Heche piga kazi kamanda sisi tunakukubali..........!
 
Kaka mimi siyo mwana-CDM lkn move wanayoifanya ya kwenda kujitangaza abroad and overseas ina serve for publicity to global Global Politics.

Fuatilia kwa karibu, Sasa hv utasikia UVCCM wamealikwa USA UVCUF wamealikwa Iran maana vyama vyetu siku hz huimba kila wimbo unaotyuniwa na CDM.

mkuu mimi ni mwanachama wa chadema,kujitanua ulaya inasaidia kuingiza chadema madarakani?kwa nini msihangaikie kujitanua mikoa yote tanzania the ulaya will follow??
 
Mkuu nadhani kwao tumbo joto kwani wakiskia Heche basi siku nzima watashinda fcbk kutoa povu but hapa watakuja tu mda.

Heche piga kazi kamanda sisi tunakukubali..........!

Walidhani Heche angechemsha kumbe walikosea sana.
 
Kaka mimi siyo mwana-CDM lkn move wanayoifanya ya kwenda kujitangaza abroad and overseas ina serve for publicity to global Global Politics.

Fuatilia kwa karibu, Sasa hv utasikia UVCCM wamealikwa USA UVCUF wamealikwa Iran maana vyama vyetu siku hz huimba kila wimbo unaotyuniwa na CDM.

Nakushukuru kwa ufafanuzi mzuri.
 
Viongozi hawa chaguliwi kwa kigezo cha dini. Nilitegemea uwe wa mwisho kuwa na fikra hizi.

Hivi Chadema katika viongozi wake wa juu Muislam ni mmoja tu Zitto Kabwe nauliza tu wanabodi.
 
Viongozi hawa chaguliwi kwa kigezo cha dini. Nilitegemea uwe wa mwisho kuwa na fikra hizi.

Mkuu mie nimeuliza tu kufahamu kama alivyouliza Mzee Mtei, alivyouliza mbona Waislam wengi kwenye wajumbe wa katiba.
 
mkuu mimi ni mwanachama wa chadema,kujitanua ulaya inasaidia kuingiza chadema madarakani?kwa nini msihangaikie kujitanua mikoa yote tanzania the ulaya will follow??

Comment kama hii haiwezi kutoka kwa mwanaChadema. Kwamba hata mialiko ya vyama rafiki unaanza kuitilia mashaka? Kwamba hujui viongozi wanajengewa uwezo kwa namna mbalimbali ikiwa ni pamoja na ziara kama hizi? Acha wivu wako wewe gamba in gwanda!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom