Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 3,804
- 1,871
Zawadi,
Unajua unapojikuta unatumia nguvu nyingi kuamini na kusambaza propaganda cheap ni fedheha sana?
Mfumo wa kushirikiana kwa vyama vya siasa haujaanza Leo.Upo miaka mingi.Vyama husaidiana katika capacity building n.k. Hizi cheap propagnda za kaina wasira (ambao wapo tayari hata kuwakana watoto wao) kwa maslahi ya kisiasa ni uvivu tu wa kufikiri
CHADEMA still has a learning curve and we will get there but we must do the needful and partner with people, parties with whom we share similar ideas
The last few days have shown that a well organised democratic system will always serve the people better and make the country stronger.Na hii ndiyo motive ya chama chochote makini cha siasa kama CHADEMA
Huu ufadhili mnaosambaza kwa hisia na hofu tu hautasaidia zaidi kukitangaza CHADEMA vizuri.Mtindo huu wa kutumia muda mwingi kutafuta propaganda badala ya kutafuta solution ya matatizo ya wananchi ili mpendwe haitasaidia,ni jaribio la ushirikina tu!
Kwanza nakupa 5, maana umejibu hoja. Kwa bahati mbaya ni wachache kama wewe, vinginevyo utasikia STUPID THINKING n.k.
Niruhusu ninukuu point kuu yako ...."Mfumo wa kushirikiana kwa vyama vya siasa haujaanza Leo.Upo miaka mingi.Vyama husaidiana katika capacity building n.k." Hapo umenena lakini wekeni wazi ili tuelewe. Mnavyoandika ni kama vile hakukuwa na ushirikiano kati ya vyama hivyo yaani CHADEMA na CHRISTIAN DEMOCRATIC PARTY cha Ujerumani. Ni ushirikiano gani mlionao na chama hicho tyawala ujerumani cha Bi Angel Markel?
Hapa umefungua ukurasa mpya kwani angalau umekubali kuwepo kwa ushirikiano, hiyo ni hatua nzuri sana. Ili tuendelee kujuzana na kujadili point vizuri. Naomba ninukuu tena pale ulipoandika:
"CHADEMA still has a learning curve and we will get there but we must do the needful and partner with people, parties with whom we share similar ideas".... Hivi ni similar ideas gani mnashare na CHRISTIAN DEMOCRATIC PARTY cha Ujerumani?
Nina mengi ya kuandika, lakini kabla sijaendelea nasubiri majibu yako kwa faida yangu, wapenzi wa CHADEMA na watanzania wote kwa ujumla.