BAVICHA yazidi kujitanua ULAYA

Ahaaa mkuu nani asiyetaka kutoa tongotongo za macho? Huoni wenye chama kila siku safarini USA na Ulaya kuongea na watu ambao hata uwezo wa kurudi bongo na kupiga kura hawana!

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,
Hakuna ujanja tena inabidi ajikite Arumeru tu.
 
Last edited by a moderator:
'kumbe hizi safari ndo zinawaumiza,zinawafanya mtamani chama kife,kumbe mapovu yote facebuk sababu ya hizi safari'

Mkuu Ritz
Mwingine huyu hawa jamaa wanatumia vitu gani? nijuze mkuu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
ndio maana waislam tunalalamikiwa kwa kushindwa kufikiri sawasawa.wewe ritz unaulizia uislamu katika chadema.
hoja muflis hiyo,imetumiwa sana katika propaganda za ccm.
uongozi wa juu wa chadema wa5 waislamu ni wa 3 na wakristo ni wa 2.
ccm juu 5 waislamu 2,wakristo 3.
cuf top 5 waislam 4,mkristo jina 1.
karibu ritz na siasa za maji taka.

Anadandia hoja muflisi CCM waliyoitumia kuimaliza CUF....ni mambo ya ku- neutralize
 
Kuna Waislam wawili tu...
Ridhiwani, hivi Uislam au Ukristo ni tija? Ukijaza waislam wengi kama CUF ndio Chama kitakuwa imara zaidi au? Kwani CDM ni BAKWATA? Hiyo siyo Taasisi ya kidini, watu hupewa uongozi kulingana na sifa za kiutendaji, swala la dini hicho ni kigezo cha Wanamagamba mliojaza Waislam wote kwenye Uongozi wa juu wa Taifa ukimuacha Majengo Yaliyopinda!
 
Ahaaa mkuu nani asiyetaka kutoa tongotongo za macho? Huoni wenye chama kila siku safarini USA na Ulaya kuongea na watu ambao hata uwezo wa kurudi bongo na kupiga kura hawana!

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu Chama kimeshika hatamu, hivi M.k.w.e.r.e kwa sasa yuko wapi, Msoga au? Hivi kumbe naye bado anahitaji kutoa tongotongo za macho? Ahaaaaa, kwahiyo hii ndiyo sera ya Magamba siyo? Hongereni sana jamani!
 
Sio siri, Bavicha wamepata m/kiti yaani Heche ni jembe sio mchezo, anapiga kazi, nashangaa huyo makamu simsikii hata kwenye mikutano ya kujenga chama!

Hizi nafasi za makamo/naibu hazina maana.
Hebu angalia,
1.Makamo wa raisi anafanya nini?.
2.makam mwenyekiti chadema taifa anafanya nini?
3.Naibu katibu mkuu chadema (bara/visiwani) anafanya nini?
4.naibu mwenyekiti bavicha,anafanya nini?
5.Naibu mkuu wa mkoa.
6.Naibu waziri.
7.etc,etc

Wizi mtupu,nafasi za ulaji hizo bila kufanya kazi.
 
Mkuu mie nimeuliza tu kufahamu kama alivyouliza Mzee Mtei, alivyouliza mbona Waislam wengi kwenye wajumbe wa katiba.
eeh ni zitto tu vipi unataka na wewe uingie kwa kigezo cha kusema ovyo?
 
nilibahatika kumwona huyu kijana heche na kumsikiliza kwenye mkutano wake bukoba hivi karibuni hawa ndio vijana tunaohitaji angalau kutusaidia kusogeza nchi kutoka shimoni acha wapate exposure za kimataifa ili wnapokuwa hata mawaziri wasije wakawa na wakati mgumu wa kushughulika na robbing za hapa na pale kama wenzetu magamba mtu anakuwa hajawahi fika kwenye hotel ya 5star akifika akiambiwa sain hapa yeye ni kuanguka sahihi tu mpaka hata za kuuza nchi
 
Back
Top Bottom