BAVICHA watangaza maandamano yasiyo na kikomo!

Tuko pamoja tuwapinge hawa magamba wanatuchezea na wingi wao Bungeni wa kuchakachua kura.Hawa waweza hata kuuza nchi kwa tamaa na wingi wao wanaoringia, ngoja tuwashitaki kwa wananchi.
 
Saa hii waseme hakuna kuogopa polisi wala makatazo yao.
Semeni tarehe na mahali nakaribia kuchoka haya matangazo nataka vitendo.

Huku ndani tukubaliane wao wakitishwa napolisi sis tunakutana wapi na mabango yetu tulianzishe?
 
Wakati nipo UD, niliwahi kupanda kwenye moja ya cku ya vuguvugu la mgomo pale Level Square nikasema. Wanachuo tz tumezoea maandamano ya kuonyesha na siyo ya fujo (riot) kama wenzetu wakenya. That y kenya wakisikia kuna mgomo or maandamano wanajuwa magar, majumba na mabarabara yataharibiwa ovyo, sie ya aman na tunapigwa na kufunguliwa mashtaka, inatakiwa riot yaan ni kupga moto benz ya mkandala na yote pale utawala, kisha kulipoa nkuruma na library. Next time udsm mkisema kuna mgomo mtasikilizwa kuliko ilivyo sasa
 
Mimi wiki ya tatu hii naandamana halafu nyie mnatangaza leo, natembea kwenda posta kwa miguu , nakula mara moja, viatu vimeisha, bahasha imetoboka, ajira million hakuna, eti nijiajiri kwa kufanya kitu gani?? kuuza maembe na Mitumbo sawa I am ready je nani atakaye nilinda na Mgambo, POLICCM , na Kandoro Family and Eng Manyanya clan member???? NIMECHOKA MUNGU NIONGOZE KWENYE HAKI NIPE UJASIRI MKUU WA KUFA KATIKA MSTARI WA MBELE.
 
Nyie Mtaishia kutangaza maandamano. Watanzania wamechoshwa na siasa zenu za vurugu.
 
tulipokuwa wanafunzi kwenye chuo fulani tuligoma. makanjanja wa vyombo vya habar tanzania wakatuhoji tukawaambia sababu za kugoma kwetu, kesho wakaripoti eti tunagomea chakula. siiamini hii habari ya chanel 10.
Umenikumbusha mbali mkuu,eti tuligomea chapati kupandishwa bei!
 
Nipo tayari kuingia vitani bora nife ktk mapambano naamini ipo siku mwanangu brian atasema baba yake alikufa kishujaa
 
ni wewe au naota?! Ina maana Chadema uongozi hamna? Juzi juzi hapa Heche katuambia ktk facebook tukutane kimara tunaandamana, kwenda hamna mtu eti makao makuu ya chama wamefuta. Leo wewe hapa unakubali kwa kuthibitisha ktk jf maandamano yapo wakati kule fb hakuna Tangazo. Sikiza, wengine tuna ratiba zetu za kujipatia ridhiki hatuli ktk siasa, kuweni na utaratibu unaoeleweka wa kutoa taarifa kwa wanachama wenu.
Duh!
Yusuph Manji ama just Manji?
CCM ama CDM?
Tajiri ama Masikini?
Bandiko lako hilo limenifanya nijiulize hayo maswali Lol!
 
Back
Top Bottom