BAVICHA watangaza maandamano yasiyo na kikomo!

thats cool..yataanzaza lini??vipi kuhusu ya katiba mpya ya magamba??
 
nimesha nunua buti na bakora pia begi la kubebea mkate sintachoka kamwe na Mungu anisaidie na kunipa nguvu.:crutch:
 
Kupinga uonevu wa polisi kwa raia, wanafunzi kunyimwa mikopo na sifa wanazo, wamachinga kuonewa. source: chanel ten news
jamani eeh me naomba kabla ya mtu kutangaza maandamano awe ameshaandaa siku ya kuanza maandamano, yataanzia wapi na kuishia wapi..me nshachoka kusikia hizo habri , Maganba wameshanichosha sasa nataka tu kuandamana sio kusikia makelele ya maandamano bila utekelezaji
 
Kupinga uonevu wa polisi kwa raia, wanafunzi kunyimwa mikopo na sifa wanazo, wamachinga kuonewa. source: chanel ten news

ni wazo zuri sana na linashikika maana lina hoja za msingi katika kizazi hiki, utekelezaji uwepo yasiwe matamko yasiyo tekelezwa , nitawaunga mkono kwa kila aina niwezavyo kusimamia ukweli tupo pamoja.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Nishaweka order ya mikate. Maji na leso kwa ajili ya mabom ya machozi.
 
mimi nayataka ya katiba..hayo mengine tutayaanzisha tukiwa njiani kuelekea magogoni..naomba kurudia sitaki bla bla nataka tahere na sehemu ya kuanzia maandamano..hawa magamba wameshatufanya wajinga
 
Kupinga uonevu wa polisi kwa raia, wanafunzi kunyimwa mikopo na sifa wanazo, wamachinga kuonewa. source: chanel ten news
tulipokuwa wanafunzi kwenye chuo fulani tuligoma. makanjanja wa vyombo vya habar tanzania wakatuhoji tukawaambia sababu za kugoma kwetu, kesho wakaripoti eti tunagomea chakula. siiamini hii habari ya chanel 10.
 
wakuu tutakosana wenyewe kwa wenyewe kama tutakuwa tunaambizana jambo halafu ahalitekelezeki bila kuambiwa sababu ya msingi,haya maandamano tuambiwe yatafanyika lini,wapi,saa ngapi na yataanzia wapi,na anaeyaratibu tujue ni nani ili tushirikiane nae kwa kila hatua,maana kama yametangazwa na vyombo vya habari basi kila kitu ni hadharani.so tunachohitaji ni seriousness ya jambo.Na kwa kile ninachokiona bungeni na kile ninachokisikia,natamani yangekuwa ya katiba.Mungu tusaidie tuishinde vita hii,hivi kweli kuna njia gani mbadala wa kuikomboa nchi yetu kwa kurejea kauli za wabunge wa CCM na CCM B?No way wacha watupige mabomu lakini tutashinda.Mh Regia wape salamu wabunge wetu kwa kuwa wewe uko jukwaani sasa hivi waambie tunawapenda wote na tunawaombeamsitusaliti,waambie hatutanii tuko serious ni bora tufe wengine tumeshaamua kwa ujinga wa bunge wa CCM na CCM B wanaotufanyia.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
tulipokuwa wanafunzi kwenye chuo fulani tuligoma. makanjanja wa vyombo vya habar tanzania wakatuhoji tukawaambia sababu za kugoma kwetu, kesho wakaripoti eti tunagomea chakula. siiamini hii habari ya chanel 10.
I smell something! Mambo ya mikate nini?
 
badala ya maandamano tutangaze mkusanyiko mbele ya vital goverment institutions ili kazi zisiendelee,hapo ndipo matakwa ya wenyenchi yatakaposikilizwa.
 
ni wewe au naota?! Ina maana Chadema uongozi hamna? Juzi juzi hapa Heche katuambia ktk facebook tukutane kimara tunaandamana, kwenda hamna mtu eti makao makuu ya chama wamefuta. Leo wewe hapa unakubali kwa kuthibitisha ktk jf maandamano yapo wakati kule fb hakuna Tangazo. Sikiza, wengine tuna ratiba zetu za kujipatia ridhiki hatuli ktk siasa, kuweni na utaratibu unaoeleweka wa kutoa taarifa kwa wanachama wenu.
 
Kupinga uonevu wa polisi kwa raia, wanafunzi kunyimwa mikopo na sifa wanazo, wamachinga kuonewa. source: chanel ten news
Nao UVCCM watatangaza maandamano yasiyokoma siku ambayo BAVICHA wataandamana kisha wote watapigwa marufuku. Chakachua nikuchakachue nakuta kwenye tukio bwaaaaaa!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom