Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,931
- 2,113
Anapogizwa kufanya kazi huwa hakosei hata kidogo. Huyu ni Mbowe na sasa hivi hapa viwanja vya relini Arusha amethibitisha hilo. Amepoteza yale matumaini kidogo aliyokuwa nayo Batilda Buriani kwani ameiteka vilivyo Arusha.
Amini usiamini,watu ni wengi kiasi kwamba hata ukitema mate hayafiki chini. Baadhi ya shughuli zimesimama ikiwemo zile za biashara kwani watu wamejitokeza kwa wingi kumpa Shavu Lema. Dalili zinaonesha hapa tuna Mbunge wa 15 toka CHADEMA hadi sasa.
Wadau tulioko Ar tushirikiane kuleta habari. Sina kamera ningeweka picha za kufa mtu.