Elections 2010 Batilda kwisha kazi

Vawulence

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,928
2,101
Anapogizwa kufanya kazi huwa hakosei hata kidogo. Huyu ni Mbowe na sasa hivi hapa viwanja vya relini Arusha amethibitisha hilo. Amepoteza yale matumaini kidogo aliyokuwa nayo Batilda Buriani kwani ameiteka vilivyo Arusha.
Amini usiamini,watu ni wengi kiasi kwamba hata ukitema mate hayafiki chini. Baadhi ya shughuli zimesimama ikiwemo zile za biashara kwani watu wamejitokeza kwa wingi kumpa Shavu Lema. Dalili zinaonesha hapa tuna Mbunge wa 15 toka CHADEMA hadi sasa.
Wadau tulioko Ar tushirikiane kuleta habari. Sina kamera ningeweka picha za kufa mtu.
 
Plz azim a kamera utuwekee picha. Akiona Kikwete ataanguka maana atatamani aje arusha tena
 
Plz azim a kamera utuwekee picha. Akiona Kikwete ataanguka maana atatamani aje arusha tena

haha!

Naskia JK kesho anakwenda Mbeya, Slaa anarudi Mwanza.

JK akienda Arusha Zito anakwenda Mbeya.

Mkwere mwaka huu analo.
 
Hapo ndipo dili inakamilika.......JK sasa kabaki mwenyewe ataenda wapi na wapi baada ya makamanda wake wote kuingia mitini...........Hizo ndizo alama za wakati..
 
Mimi hata kampeni sifuratulii tena niko busy ku-study Historia ya chama tawala coming 2011.
CCM wajiandae kuchukua seat no kwenye kambi ya upinzani, kwani akitoka no 1 chandema CUF atachukua then may be ccm....

Rangi za Bendera ya chama Tawala
NYEUSI
Rangi hii inawakilisha WATU WA TANZANIA. Hii ni rangi ya wazawa asili wa nchi yetu. Ni rangi ambayo inabeba pia falsafa ya NGUVU YA UMMA.
BLUU ISIYOKOZA (LIGHT BLUE)
Hii ni rangi ya asili ya CHADEMA. Ni rangi ambayo inawasilisha HAKI. Lakini pia rangi hiyo inawakilisha BAHARI kama ishara ya maliasili/raslimaji na Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar.
NYEUPE
Rangi nyeupe inawasilisha UKWELI, UWAZI na AMANI. Huu ni msingi muhimu wa CHADEMA. CHADEMA ni chama ambacho kitasimamia uadilifu kwa njia ya demokrasia.
NYEKUNDU
Rangi nyekundu inawakilisha MASHUJAA. CHADEMA inathamini historia ya nchi yetu ambayo inawasilisha kumbukumbu ya mashujaa waliotupitisha katika michakato ya mbalimbali ya demokrasia na maendeleo ikiwemo harakati za kuondoa ukoloni. Rangi hii ni chimbuko la uzalendo wetu
 
kuna dada mmoja humu jf anaitwa zubeda ananikera sana

jiitahidi ulete picha mkuu
 
mkutano wa Mbowe Ar umeisha kwa amani . Nilihofu ule umati . Kamanda kamaliza . Lema ni mbunge tayari hamna ubishi
 
mbowe.JPG mikono juu.JPG lema na mbowe.JPG
 
Duh asante sana. nimesikia moyo umetulia tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. Mungu walinde viumbe wako waTZ. Nafunika uchaguzi na Damu ya Yesu
 
Mie kwa Zubeda ndiyo nimefika. Hata kama yeye ni dume basi amini usiamini ntatangaza ushoga maana hakuna binadamu aliyekamili.

Hivyo Mkuu, angalia sana unapotaja jina la Zubeda wangu. I Love you Zubeda......:sorry:
kuna dada mmoja humu jf anaitwa zubeda ananikera sana

jiitahidi ulete picha mkuu
 
Mie kwa Zubeda ndiyo nimefika. Hata kama yeye ni dume basi amini usiamini ntatangaza ushoga maana hakuna binadamu aliyekamili.

Hivyo Mkuu, angalia sana unapotaja jina la Zubeda wangu. I Love you Zubeda......:sorry:

Na wewe unataka kuwa Bwabwa? :angry:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom