Barua ya wazi kwa RPC Arusha

Mheshimiwa RPC

Salaam.

Watanzania wote tunafuatilia kwa karibu yanayojiri sasa mjini Arusha.

Tunapenda kukupongeza wewe na vijana wako kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya katika kuhakikisha kuwa sheria za nchi yetu zinafuatwa na kila mtu. Mmeonesha weledi (professionalism) wa hali ya juu.

Tuko pamoja na wewe Kamanda. Tutalinda kwa gharama yeyote usalama na utulivu wa nchi yetu. Vitendo vya kihuni vilivyofanywa na viongozi wapuuzi wa cdm haviwezi kuvumiliwa kamwe. Aidha siasa za kishenzi hazina nafasi katika Tanzania ya sasa.

Wazalendo tunaendelea kuchapa kazi katika kujiletea maendeleo yetu, hatuna muda wa kupoteza wala hatutapotoshwa na wanasiasa uchwara wanaotaka kutumia siasa kutimiza malengo binafsi.

Mungu Ibariki Tanzania.

kny Watanzania Wazalendo.
Si kwamba ungeiandika ukaweka gazetini kabisa ndo ungekuwa umetumia hekima zaidi? Kweli unaonekana u mzalendo pekee tanzania, sidhani kama umetafiti ni watanzania wangapi waliofurahia mauaji ya watanzania wengine katika harakati za kutoa maoni yao. Umefurahi sana, na pengine utapandishwa cheo kwa kutoa au kushabikia kutoa uhai wa binadamu mwingine, lakini usisahau damu za hao watu zilizo mwagika na machozi ya wananchi wazalendo zitakufuata wewe na wenzako wote. Ole wako na kizazi chako.
 
Du sijawahi kusikia wala kuona watu kama wewe hapa Tanzania. Kweli wajinga ndiyo waliwao, huna hata haya kuandika utopolo hapa.
 
Yaani wewe nashindwa hata nikuweke kwenye kundi gani la binadamu ama wanyama. Unashabikia mauaji, unajua ni watu wangapi wameuawa na kujeruhiwa? kweli jamani umenisikitisha wewe binadamu, watafute na BBC useme haya na sijui kama jirani zako watakusalimia hata siku moja, watu wanalilia haki na damu zimemwagika wewe unaongea yote hayo yasiyokuwa na msingi hasa.
 
Hii ni barua yangu kwako na vibaraka wenzako wote.
Nilivyosoma heading, nikajua content itakuwa ya maana, kumbe ni upuuzi mtu na ushabiki wa kujinga wa wewe mamluki.
Siwezi kukwita mjnga au mwendawazimu kwa barua yako na post zako zingine, nijuavyo wewe upo kazini upo kwenye nisheni maalumu. Umetumwa wewe kujaribu kupooza mwamko wa kimapinduzi mitandaoni.
Ndg yangu mpo wengi sana mnaotumwa mitandaoni na kwenye jamii zetu, tumewanotice zamani sana. Let me tell u laana za wapenda haki zitawaandama popote kwa ushabiki wa kamamluki mnaofanya, wewe, Andengenye na wafuasi wengine wa mafisadi mwisho wenu umekaribia.
Nawaonea huruma kwa sababu hamfanyi haya kwa kupenda but there is a motives behind u, soon mtajutia maamuzi yenu ya kipuuzi ya kufuata maamuzi ya wa kubwa bila kuangalia kwamba mnanyonywa ninyi na ndg zenu.
huu ni waraka wangu kwako na vibaraka wengine wote mitandaoni na kwingineko, nawaombea mbadilike.
 
Hivi huyu jamaa ana akili kweli aliyoandika hii article.Siasa zipi za kishenzi kuandamana ni haki ya kikatiba ya kila raia.I dont see anything wrong with that.The only thing the police should do is ensuring that people and their property are safe.Regardless of their party membership.Honestly sidhani kama mtu mwenye akili zake timamu anaweza kupongeza vifo vya watu.Huyu lazima atakuwa na roho ya shetani na sehemu yake ni depth of hell kuzimu pamoja na baba yake shetani.!!!!.This guy is devil!!!!!! ni shetani mkubwa

Mashetani ni walioandaa maandamano batili na kusababisha vifo kwa watu wasio na hatia kwa ajili ya kufanikisha malengo binafsi kwa kivuli cha siasa.

Mungu ameagiza kila mtu atii mamlaka ya nchi maana mamlaka zote zimewekwa na yeye (Mungu).

Vitendo vya kishetani ni kufanya maandamano yaliyokatazwa na mamlaka halali.

Mrudie Mungu wako ...sijui wakwako ni yupi. Kama ni huyu tunayemuabudu Watanzania wa dini zote, unatakiwa utubu kwa kujiunga na kundi la wahuni.

Rejea mafundisho ya Sunday School, Kipaimara au Madrasa, utajua ulipoangukia.

Vinginevyo usilitaje bure jina la Mungu.... utakuwa unavuna dhambi.
 
Si kwamba ungeiandika ukaweka gazetini kabisa ndo ungekuwa umetumia hekima zaidi? Kweli unaonekana u mzalendo pekee tanzania, sidhani kama umetafiti ni watanzania wangapi waliofurahia mauaji ya watanzania wengine katika harakati za kutoa maoni yao. Umefurahi sana, na pengine utapandishwa cheo kwa kutoa au kushabikia kutoa uhai wa binadamu mwingine, lakini usisahau damu za hao watu zilizo mwagika na machozi ya wananchi wazalendo zitakufuata wewe na wenzako wote. Ole wako na kizazi chako.

Usilaani ili nawe usilaaniwe!
 
Nashabikia nchi yangu. Wewe unashabikia umwagaji damu na kupoteza muda na nguvu kazi kwenye mambo ya kishenzi kama maandamano ya jana?

Wake up!

Hakuna anayeshabikia umwagaji damu. Usichotaka kufahamu kwa sababu ya ulevi wako ni kuwa Serikali dhalimu hutumia mabavu kugandamiza uhuru wa watu. Hazina tofauti na serikali za kikoloni ambazo zilifanya hayo hayo. Na ili watu waachane na hayo mapambano lazima yatokee.
 
Mheshimiwa RPC

Salaam.

Watanzania wote tunafuatilia kwa karibu yanayojiri sasa mjini Arusha.

Tunapenda kukupongeza wewe na vijana wako kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya katika kuhakikisha kuwa sheria za nchi yetu zinafuatwa na kila mtu. Mmeonesha weledi (professionalism) wa hali ya juu.

Tuko pamoja na wewe Kamanda. Tutalinda kwa gharama yeyote usalama na utulivu wa nchi yetu. Vitendo vya kihuni vilivyofanywa na viongozi wapuuzi wa cdm haviwezi kuvumiliwa kamwe. Aidha siasa za kishenzi hazina nafasi katika Tanzania ya sasa.

Wazalendo tunaendelea kuchapa kazi katika kujiletea maendeleo yetu, hatuna muda wa kupoteza wala hatutapotoshwa na wanasiasa uchwara wanaotaka kutumia siasa kutimiza malengo binafsi.

Mungu Ibariki Tanzania.

kny Watanzania Wazalendo.

8D6U7090.JPG
 
Huyu mtu anastahili akamatwe kwa kuua na kuumiza wananchi wa Tanzania. Hata wewe unastahili kukamatwa kwa kushabikia mauaji ya kinyama yaliyofanywa na mtu huyu. Kwa taarifa yako, tunafuatilia!
 
Boy, be of your age!
What do you mean by ukombozi? You are dreaming.
Unamwongelea mtanzania yupi?? ... may be your fellow hooligans.

By the way, be informed that: the majority of Tanzanians don't support your barbaric behaviour.
It takes one to know one!
 
Mheshimiwa RPC

Salaam.

Watanzania wote tunafuatilia kwa karibu yanayojiri sasa mjini Arusha.

Tunapenda kukupongeza wewe na vijana wako kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya katika kuhakikisha kuwa sheria za nchi yetu zinafuatwa na kila mtu. Mmeonesha weledi (professionalism) wa hali ya juu.

Tuko pamoja na wewe Kamanda. Tutalinda kwa gharama yeyote usalama na utulivu wa nchi yetu. Vitendo vya kihuni vilivyofanywa na viongozi wapuuzi wa cdm haviwezi kuvumiliwa kamwe. Aidha siasa za kishenzi hazina nafasi katika Tanzania ya sasa.

Wazalendo tunaendelea kuchapa kazi katika kujiletea maendeleo yetu, hatuna muda wa kupoteza wala hatutapotoshwa na wanasiasa uchwara wanaotaka kutumia siasa kutimiza malengo binafsi.

Mungu Ibariki Tanzania.

kny Watanzania Wazalendo.

Nadhani unahitajika ukapimwe akili then ulazwe Mirembe mtu mwenye uzalendo lazima awe mstari wa mbele kutetea maslahi ya Taifa mbona hujajitokeza kuishinikiza serikali kuwapeleka mahamani watuhumiwa wa Kagoda kwenye kashfa ya EPA then watu kuuawa wewe unajitokeza wewe kweli Zero Brain au ndio umetumwa kujua reaction za wanajamvi kweli ww hamnazo.
 
QUOTE=Kishongo;1453184]Mheshimiwa Dr Slaa

Salaam.

Watanzania wote tunafuatilia kwa karibu yanayojiri sasa mjini Arusha.
 
Huyu mtu anastahili akamatwe kwa kuua na kuumiza wananchi wa Tanzania. Hata wewe unastahili kukamatwa kwa kushabikia mauaji ya kinyama yaliyofanywa na mtu huyu. Kwa taarifa yako, tunafuatilia!

Tukutane Kisongo tuongee.
 
BARUA YA WAZI KWA KIWETE,MWEMA,RPC A TOWN,NA MAFISADI WOTE

Hongereni kwa kumwaga damu ziczo na hatia,na kwakufanya Tz ni mali za baba
Zenu,nawambia mtalipia kila tone la damu ulilomwaga,kwa kila dhuruma mnayoifanya kwa wa Tz,KIAMA CHENU KINAKARIBIA,ctak kuamin 2naongozwa na m2 mwenye upeo wa kitt,acejua A wala B,n u unaesifia ujinga,cdhan kama una maisha mazur kwenu,kuna kila dalili ya Tz kukushnda kabla ya kumalza mda wako,cjui kizaz chako kitaish vp baada ya hayo unayoyafanya,Yakupasa urudi kwa Mungu wako u2bie ujinga wako wa Visasi!.UMESAHAU AUWAE KWA PANGA,NAE ATAK... Kwa p....?uc2fikishe huko kiwete,mwema hutaish kwa aman milele,rostam uta2achia Tz ye2,..sUBIRI MWONE
 
Mheshimiwa RPC

Salaam.

Watanzania wote tunafuatilia kwa karibu yanayojiri sasa mjini Arusha.

Tunapenda kukupongeza wewe na vijana wako kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya katika kuhakikisha kuwa sheria za nchi yetu zinafuatwa na kila mtu. Mmeonesha weledi (professionalism) wa hali ya juu.

Tuko pamoja na wewe Kamanda. Tutalinda kwa gharama yeyote usalama na utulivu wa nchi yetu. Vitendo vya kihuni vilivyofanywa na viongozi wapuuzi wa cdm haviwezi kuvumiliwa kamwe. Aidha siasa za kishenzi hazina nafasi katika Tanzania ya sasa.

Wazalendo tunaendelea kuchapa kazi katika kujiletea maendeleo yetu, hatuna muda wa kupoteza wala hatutapotoshwa na wanasiasa uchwara wanaotaka kutumia siasa kutimiza malengo binafsi.

Mungu Ibariki Tanzania.

kny Watanzania Wazalendo.

Huu ni upungufu wa akili!!
 
mheshimiwa rpc

salaam.

Watanzania wote tunafuatilia kwa karibu yanayojiri sasa mjini arusha.

Tunapenda kukupongeza wewe na vijana wako kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya katika kuhakikisha kuwa sheria za nchi yetu zinafuatwa na kila mtu. Mmeonesha weledi (professionalism) wa hali ya juu.

Tuko pamoja na wewe kamanda. Tutalinda kwa gharama yeyote usalama na utulivu wa nchi yetu. Vitendo vya kihuni vilivyofanywa na viongozi wapuuzi wa cdm haviwezi kuvumiliwa kamwe. Aidha siasa za kishenzi hazina nafasi katika tanzania ya sasa.

Wazalendo tunaendelea kuchapa kazi katika kujiletea maendeleo yetu, hatuna muda wa kupoteza wala hatutapotoshwa na wanasiasa uchwara wanaotaka kutumia siasa kutimiza malengo binafsi.

Mungu ibariki tanzania.

Kny watanzania wazalendo.

shenzi!
 
Unajua maana ya dhambi wewe u really have lost it.Mbona usizungumzie mamlaka iliyojiweka yenyewe kwa kuiba kura.!!!!.Hii ndiyo dhambi namba moja.Pili wewe ndio ulionguka kwasababu unatetea mauaji wewe ndio shetani narudia tena u the devil!!!!!!!!!.Ingekuwa mamlaka halali tungeheshimu lakini dont involve God kwenye wizi wa mauaji.Wewe devil ingekuwa mkeo ameuliwa ungepongeza,au wanao, wewe utakuwa unamwabudu mungu wako ambaye ni shetani kwasababu shetani ndie hufurahia mauaji!!!!! kama wewe shetani!!!!!!!!!!!!!!!!Shetani wewe na baba yako ni shetani!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom