Barua ya wazi kwa RPC Arusha

Unajua maana ya dhambi wewe u really have lost it.Mbona usizungumzie mamlaka iliyojiweka yenyewe kwa kuiba kura.!!!!.Hii ndiyo dhambi namba moja.Pili wewe ndio ulionguka kwasababu unatetea mauaji wewe ndio shetani narudia tena u the devil!!!!!!!!!.Ingekuwa mamlaka halali tungeheshimu lakini dont involve God kwenye wizi wa mauaji.Wewe devil ingekuwa mkeo ameuliwa ungepongeza,au wanao, wewe utakuwa unamwabudu mungu wako ambaye ni shetani kwasababu shetani ndie hufurahia mauaji!!!!! kama wewe shetani!!!!!!!!!!!!!!!!Shetani wewe na baba yako ni shetani!!!!!!!!!!!!!!!!
mwambie huyo nguruwe kaka.......................shame on him na viongozi wake mafisadi
 
Unajua maana ya dhambi wewe u really have lost it.Mbona usizungumzie mamlaka iliyojiweka yenyewe kwa kuiba kura.!!!!.Hii ndiyo dhambi namba moja.Pili wewe ndio ulionguka kwasababu unatetea mauaji wewe ndio shetani narudia tena u the devil!!!!!!!!!.Ingekuwa mamlaka halali tungeheshimu lakini dont involve God kwenye wizi wa mauaji.Wewe devil ingekuwa mkeo ameuliwa ungepongeza,au wanao, wewe utakuwa unamwabudu mungu wako ambaye ni shetani kwasababu shetani ndie hufurahia mauaji!!!!! kama wewe shetani!!!!!!!!!!!!!!!!Shetani wewe na baba yako ni shetani!!!!!!!!!!!!!!!!

Tuweke records straight.

Hakuna mahali nilipopongeza wala kushabikia mauaji katika barua yangu.
Nilichopongeza ni weledi uliotumika kuepusha maovu zaidi yakiwemo mauaji ya wasio na hatia yasitokee.

Pamoja na kusikitikia vifo vilivyotokea, bado nawalaumu viongozi wa cdm na wanachama wake waliotaka kutumia nguvu kuvamia kituo cha polisi huku wakiwa na petroli kwa nia ya kusababisha maafa makubwa zaidi.

Kubeba Petroli mikononi kwenye maandamano ina lengo gani kama siyo kuua na kuharibu mali?

Mtu anayevamia kituo cha polisi akiwa na petroli akipigwa risasi akafa, utailaumu polisi?

Hutawapongeza kwa kuua bali utawapongeza kwa kufanya kazi vizuri na kuepusha maafa zaidi.

Hicho ndicho nilichokifanya kwenye barua yangu.
 
Ocampo akija kukusanya ushaidi itabidi tumpe na hii barua yako kuwa baada ya kuua mlikaa na kupongezana. Tuue ili muendelee kutawala wana wa nchi hii. Kweli,Gun but diplomacy in Tanzania.
 
Malaria sugu bwana...
Yaani wewe unafurahia mauaji ya wabongo wenzako?
mheshimiwa rpc

salaam.

Watanzania wote tunafuatilia kwa karibu yanayojiri sasa mjini arusha.

Tunapenda kukupongeza wewe na vijana wako kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya katika kuhakikisha kuwa sheria za nchi yetu zinafuatwa na kila mtu. Mmeonesha weledi (professionalism) wa hali ya juu.

Tuko pamoja na wewe kamanda. Tutalinda kwa gharama yeyote usalama na utulivu wa nchi yetu. Vitendo vya kihuni vilivyofanywa na viongozi wapuuzi wa cdm haviwezi kuvumiliwa kamwe. Aidha siasa za kishenzi hazina nafasi katika tanzania ya sasa.

Wazalendo tunaendelea kuchapa kazi katika kujiletea maendeleo yetu, hatuna muda wa kupoteza wala hatutapotoshwa na wanasiasa uchwara wanaotaka kutumia siasa kutimiza malengo binafsi.

Mungu ibariki tanzania.

Kny watanzania wazalendo.
 
Mashetani ni walioandaa maandamano batili na kusababisha vifo kwa watu wasio na hatia kwa ajili ya kufanikisha malengo binafsi kwa kivuli cha siasa.

Mungu ameagiza kila mtu atii mamlaka ya nchi maana mamlaka zote zimewekwa na yeye (Mungu).

Vitendo vya kishetani ni kufanya maandamano yaliyokatazwa na mamlaka halali.

Mrudie Mungu wako ...sijui wakwako ni yupi. Kama ni huyu tunayemuabudu Watanzania wa dini zote, unatakiwa utubu kwa kujiunga na kundi la wahuni.

Rejea mafundisho ya Sunday School, Kipaimara au Madrasa, utajua ulipoangukia.

Vinginevyo usilitaje bure jina la Mungu.... utakuwa unavuna dhambi.
Wangeumizwa polisi ningesema CDM wamemwaga damu ya polisi................laiki waliopigwa ni CDM .........walikuwa wanajipiga wenyewe.........??? Kama si polisi ..........TATIZO LAKO UNAONGOZWA NA USHABIKI WA VYAMA BADALA YA HALI HALISI
 
Jamani, hivi watu wengine wanatoka wapi? Mtu kama huyu unadhani hastahili kupelekwa milembe jamani?

Hawa ndiyo yale " MAZUZU" ambayo Marehemu Baba wa Taifa alikuwa akiyataja kila mara.
Hafai kuwepo Tanzania mtu kama huyu bora apewe notice aondoke maana hana uzalendo kabisa.
 
Hivi wewe kishongo una dhamiri ya aina gani? Unawezaje kupongeza wauaji wa wananchi wenzako? Wakati kama huu wa msiba wa taifa unafunua kinywa kutaapika maneno kama hayo na ili hali hata marehemu wetu hawajazikwa!!! Ama kweli ccm mmegeuka wanyama. Au ndio sababu hata Raisi hajazungumza lolote? Ndio kusema haguswi na mauti ya watz sio. Hiki ndicho chama kinachohubiri amani, kisha kinatenda uuaji na ufisadi. Wananchi amkeni hii ccm itawamaliza msiposhtuka mapema.
 
Wewe Kishongo namna gani bwana, angalia pakusifia sio hapo mzee

Tuweke records straight.

Hakuna mahali nilipopongeza wala kushabikia mauaji katika barua yangu.
Nilichopongeza ni weledi uliotumika kuepusha maovu zaidi yakiwemo mauaji ya wasio na hatia yasitokee.

Pamoja na kusikitikia vifo vilivyotokea, bado nawalaumu viongozi wa cdm na wanachama wake waliotaka kutumia nguvu kuvamia kituo cha polisi huku wakiwa na petroli kwa nia ya kusababisha maafa makubwa zaidi.

Kubeba Petroli mikononi kwenye maandamano ina lengo gani kama siyo kuua na kuharibu mali?

Mtu anayevamia kituo cha polisi akiwa na petroli akipigwa risasi akafa, utailaumu polisi?

Hutawapongeza kwa kuua bali utawapongeza kwa kufanya kazi vizuri na kuepusha maafa zaidi.

Hicho ndicho nilichokifanya kwenye barua yangu.
 
Nashabikia nchi yangu. Wewe unashabikia umwagaji damu na kupoteza muda na nguvu kazi kwenye mambo ya kishenzi kama maandamano ya jana?
THINK BIG KAKAANGU!na kama haupo Arusha ndo unyamaze kabisa..What they did was inhuman!kulikua hamna haja ya kuharibu mali za watu,kupiga hata wapita njia,kuwaharass wanawake..s
 
Ocampo akija kukusanya ushaidi itabidi tumpe na hii barua yako kuwa baada ya kuua mlikaa na kupongezana. Tuue ili muendelee kutawala wana wa nchi hii. Kweli,Gun but diplomacy in Tanzania.
Noted.
Nimeihifadhi hii barua na soon nitaituma ICC
 
Back
Top Bottom