Barua ya wazi kwa RPC Arusha

Mwendawazimu na mchovu wa kufikiri. Mwacheni, the day is coming, very soon we will get there. Fuatilia historia za mapinduzi kokote duniani, utajua Tanzania kwa kupitia chama makini (CHADEMA)....ukombozi wa mtanzania u-karibu/umefika.
 
Kishongo sina uhakika na unachowapongeza hao polisi.........

laiti ungeona walivyovunja vioo vya magari ya watu na kupiga watu badala ya
kulinda watu na mali zao kama jukumu lao kuu usingeongea hivyo............kama kweli unaipenda tanzania ulitakiwa
ukemee kitendo walichofanyiwa watu wa Arusha na hao polisi wenye akili kama za mbwa......jukumu la polisi ni kulinda watu na mali zao na sio kuhaibu mali za watu
 
Mwendawazimu na mchovu wa kufikiri. Mwacheni, the day is coming, very soon we will get there. Fuatilia historia za mapinduzi kokote duniani, utajua Tanzania kwa kupitia chama makini (CHADEMA)....ukombozi wa mtanzania u-karibu/umefika.

Boy, be of your age!
What do you mean by ukombozi? You are dreaming.
Unamwongelea mtanzania yupi?? ... may be your fellow hooligans.

By the way, be informed that: the majority of Tanzanians don't support your barbaric behaviour.
 
mwandikie pia kuwa OCAMPO lazima amchukue THE HAGUE si kama zamani tena walivyokuwa wakitunyanyasa angalia Kenya Mr.ANDENGENYE

Kama ulifuatilia somo la Kenya vizuri utafahamu kuwa Dr. Slaa na Lema pia atawahitaji kama ilivyokuwa kwa mpinzani mhamasishaji, William Ruto.
 
Mheshimiwa RPC

Salaam.

Watanzania wote tunafuatilia kwa karibu yanayojiri sasa mjini Arusha.

Tunapenda kukupongeza wewe na vijana wako kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya katika kuhakikisha kuwa sheria za nchi yetu zinafuatwa na kila mtu. Mmeonesha weledi (professionalism) wa hali ya juu.

Tuko pamoja na wewe Kamanda. Tutalinda kwa gharama yeyote usalama na utulivu wa nchi yetu. Vitendo vya kihuni vilivyofanywa na viongozi wapuuzi wa cdm haviwezi kuvumiliwa kamwe. Aidha siasa za kishenzi hazina nafasi katika Tanzania ya sasa.

Wazalendo tunaendelea kuchapa kazi katika kujiletea maendeleo yetu, hatuna muda wa kupoteza wala hatutapotoshwa na wanasiasa uchwara wanaotaka kutumia siasa kutimiza malengo binafsi.

Mungu Ibariki Tanzania.

kny Watanzania Wazalendo.
The best start of the year crap
 
Boy, be of your age!
What do you mean by ukombozi? You are dreaming.
Unamwongelea mtanzania yupi?? ... may be your fellow hooligans.

By the way, be informed that: the majority of Tanzanians don't support your barbaric behaviour.
Those who write this type of letter they do not know the meaning of UKOMBOZI..................

It is UKOMBOZI from
............ EPA.................
............DOWANS..........
............ KIWIRA...........
............ RADAR...........
............. CHENGE..........
............. EL......... RA......
............ RICHMOND.......
............... IPTL............
.............. 185.5 Bl..........
............... MGAO WA UMEME.............
............... HOSEA................
................ BEI YA UMEME............

You name them Kisogo............aaahh sorry KISONGO et el
 
mimi nadhani wewe KISOGO ni mpumbavu wa kawaida kama wapumbavu wengine niliowahi kukutana nao
 
inaonekana baba yako ni moja wa mafisadi pori na umelelewa kwa pesa hiyo ndiyo maana unanuka laana. you are just another fool
 
Haya, dunia nzima sasa inajua Tanzania si kisima cha amani tena...

Kwani ndiyo mwanzo polisi wetu kuuwa raia katika shughuli za siasa na maandamano kwa ujumla?

Anawapongeza polisi kwa nini? Eti kwa kudumisha amani kwa njia ya mauaji? CCm wanawadanganya hao polisi eti kuna amani?

Soma:
Mwaka 1993 walimwuua mwana-CUF kule Shumba Mjini, Zanzibar kwa amri ya OCD kwa kosa la kupandisha bendera ya CUF katika tawi alilolianzisha. Si OCD wal;a polisi aliyepiga risasi walipandishwa kizimbani.

Mwaka 1998 polisi waliwaua kwa kuwapiga risasi wapita njia wanne kwa maelekezo ya ofisa wa usalama. Hii ilikuwa katika vurugu za Mwembechai. ITV wanayo footage hiyo. Si polisi aliyefyatua risasi wala yule mwanausalama
walifikishwa mahakamani. Waliofikishwa mahakamani ni viongozi wa dini.

Mwaka 2001 huko Chake, Pemba polisi hao hao wa CCM waliwapiga risasi na kuwaua makumi ya wana-CUF. Hakuna polisi aliyefikishwa mahakamani kwa makosa hayo. Waliofikishwa mahakamani ni viongozi wa wana-CUF walioandamana.

Jana polisi wamewaua wanachadema wawili huko Arusha. Wanaofikishwa mahakamani ni viongozi wa Chadema.

Nawaambia CCM nchi hii si kisiwa cha amani kama mnavyopenda kuimba. Amani haiimbwi majukwaani -- inajengwa kwa misingi imara ya dhati na ya haki, si vinginevyo.

You have reached the end of your tether. Please GO, CCM, GO away before it's too late.
 
Mheshimiwa RPC

Salaam.

Watanzania wote tunafuatilia kwa karibu yanayojiri sasa mjini Arusha.

Tunapenda kukupongeza wewe na vijana wako kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya katika kuhakikisha kuwa sheria za nchi yetu zinafuatwa na kila mtu. Mmeonesha weledi (professionalism) wa hali ya juu.

Tuko pamoja na wewe Kamanda. Tutalinda kwa gharama yeyote usalama na utulivu wa nchi yetu. Vitendo vya kihuni vilivyofanywa na viongozi wapuuzi wa cdm haviwezi kuvumiliwa kamwe. Aidha siasa za kishenzi hazina nafasi katika Tanzania ya sasa.

Wazalendo tunaendelea kuchapa kazi katika kujiletea maendeleo yetu, hatuna muda wa kupoteza wala hatutapotoshwa na wanasiasa uchwara wanaotaka kutumia siasa kutimiza malengo binafsi.

Mungu Ibariki Tanzania.

kny Watanzania Wazalendo.

Mega crap.
 
Ni haki ya kila mtu kutoa mawazo yake,ila boss kishongo hii umechemka,unatetea taifa lipi hilo?sema kweli,pengine unatetea maslahi yako,ndugu au familia yako ambao wananeemeka kwa jasho la watanzania
 
Wewe masonjo umetoka wapi tena wewe? Ulifikiri ocampo anachukua watu tu kwa kuwa walikuwa kwenye tukio????????? Anachukua wauaji kwa taarifa yako!
 
Mheshimiwa RPC

Salaam.

Watanzania wote tunafuatilia kwa karibu yanayojiri sasa mjini Arusha.

Tunapenda kukupongeza wewe na vijana wako kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya katika kuhakikisha kuwa sheria za nchi yetu zinafuatwa na kila mtu. Mmeonesha weledi (professionalism) wa hali ya juu.

Tuko pamoja na wewe Kamanda. Tutalinda kwa gharama yeyote usalama na utulivu wa nchi yetu. Vitendo vya kihuni vilivyofanywa na viongozi wapuuzi wa cdm haviwezi kuvumiliwa kamwe. Aidha siasa za kishenzi hazina nafasi katika Tanzania ya sasa.

Wazalendo tunaendelea kuchapa kazi katika kujiletea maendeleo yetu, hatuna muda wa kupoteza wala hatutapotoshwa na wanasiasa uchwara wanaotaka kutumia siasa kutimiza malengo binafsi.

Mungu Ibariki Tanzania.

kny Watanzania Wazalendo.

Hivi huyu jamaa ana akili kweli aliyoandika hii article.Siasa zipi za kishenzi kuandamana ni haki ya kikatiba ya kila raia.I dont see anything wrong with that.The only thing the police should do is ensuring that people and their property are safe.Regardless of their party membership.Honestly sidhani kama mtu mwenye akili zake timamu anaweza kupongeza vifo vya watu.Huyu lazima atakuwa na roho ya shetani na sehemu yake ni depth of hell kuzimu pamoja na baba yake shetani.!!!!.This guy is devil!!!!!! ni shetani mkubwa
 
Please dont mention God kwenye unyama uliofanywa na polisi.God says dont kill halafu this police have killed how comes unasema MUngu bariki.You dont mention God kabisa kwasababu Mungu hausiki na uovu kama huu.Hivi huyu jamaa ana akili kweli aliyoandika hii article.Siasa zipi za kishenzi kuandamana ni haki ya kikatiba ya kila raia.I dont see anything wrong with that.The only thing the police should do is ensuring that people and their property are safe.Regardless of their party membership.Honestly sidhani kama mtu mwenye akili zake timamu anaweza kupongeza vifo vya watu.Huyu lazima atakuwa na roho ya shetani na sehemu yake ni depth of hell kuzimu pamoja na baba yake shetani.!!!!.This guy is devil!!!!!! ni shetani mkubwa
.Shetani kabisa
 
Back
Top Bottom