Barua ya Papii Kocha kwa JK

Masikini Bwana Mkubwa Amuhurumie Huyu Kijana Keshakoma Hata Kama Alimpigia Kifua Baba Ake Wakati Anakula Ile Kitu Ya Mhishimiwa Namsamehe Tu Yamemfika Shingoni
 
Mbona anaomba msamaha ,,,huku ana wapiga na mabango wakubwa wa kazi. sasa mtoa msamaha ashike lipi...?
 
hv mkulu yeye anausafi gani mbele ya watanzania? kama anaamini na yeye ipo siku atakufa na atahukumiwa ajue kabisa kilio cha wengi ni kilio cha mungu
 
Aisee,machozi yamenitoka kwa uchungu wa hii barua hasa nikiangalia umri wa huyu kijana na mazingira ya gerezani
 
Kwa wataalamu wa sheria na historia ya nchi yetu naomba kujua kama Rais wa Nchi ameshawahi/ ana uwezo wa kutengua hukumu ya kifungo cha maisha kwa kosa la ubakaji/ulawiti/unajisi.
 
una uhakika alikula

Alikula Hadi Ila Kakubali Yuko Chini Ya Miguu Yake Ni Bora Akamuwia Radhi Wanawake Waweza Kuwa Stare Sna Duniani Ila Somtim Shida Sna Mwambieni Mukulu Binaka Kesho Kutwa Aking'atuka Amchomoe Uyo Dogo Bwana Kesha Koma Huyo Dad Wake Amwache Tu Mana Mautamu Kapata Yeye
 
Alikula Hadi Ila Kakubali Yuko Chini Ya Miguu Yake Ni Bora Akamuwia Radhi Wanawake Waweza Kuwa Stare Sna Duniani Ila Somtim Shida Sna Mwambieni Mukulu Binaka Kesho Kutwa Aking'atuka Amchomoe Uyo Dogo Bwana Kesha Koma Huyo Dad Wake Amwache Tu Mana Mautamu Kapata Yeye

Una uhakika hao watu wamesingiziwa.
 
hakuna ushahidi kuwa hiyo barua ameandika papii Kocha.imetungwa tu na watu,anayejua ukweli wa hayo mambo nimwenyez Mungu pekee
 
watanzania wanafiki sana,mnaacha kuwaonea huruma ndugu zetu wanaosubiri kunyogwa huko china mnawaonea huruma hawa wabakaji!
 
...Hivi huyo Papii amekwenda shule angalau hata darasa la 7? Barua haina kichwa, mwili wala mkia.....Mh! Huenda watu mnataka kutupisha baraza la kahawa tu humu....

Yaan wewe mtu yuko jela halafu unataka aanze kuandika barua kwa formality kama vile anataka kuomba kazi?!!!! acha mbwembwe mkuu kikubwa ujumbe ufike.
 
Anaomba msamaha wa Rais au anaomba msamaha kwa kosa alilotenda? ! Kama ametenda kosa ni kosa gani?
Na kama ni kwa kosa lile lililompeleka jela, lile huwa halina "prerogative mercy " ya Rais
 
watanzania wanafiki sana,mnaacha kuwaonea huruma ndugu zetu wanaosubiri kunyogwa huko china mnawaonea huruma hawa wabakaji!
Huo unafiki wao uko wapi hapo?unataka kusema kuwa hao wa huko china wanaosuburi kunyongwa ndo wa kuwaonea huruma sana kwa kubeba madawA ya kulevya,kwani walitumwa kufanya hivyo?kama ni huruma usibague wa kumuonea hurumu ndugu,cause they are all sailing in the same boat...Acha wanyongwe maana walikuwa wanajua nn wanafanya na adhabu yake walikuwa wanajua,au labda hiyo huruma yako kwa hao huko china its somthing within you.
 
MF/NA: 836’04
Johnson Nguza
(Papii Kocha)
Gereza Kuu Ukonga
S.L.P 9091
Dar es Salaam
Mh. Rais Jamuhuri ya
Muungano
Tanzania
YAH: MAOMBI YA
KUPEWA MSAADA
(MSAMAHA) WA
KUFUTIWA ADHABU
YA KIFUNGO NILIYOPEWA
NA
MAHAKAMA YA HAKIMU
MKAZI
KISUTU.
Husika na somo hilo hapo
juu.
Mimi ni mfungwa katika
gereza
kuu Ukonga. Kwa heshma
na
taadhima na kwa
kutambua utu
na huruma yako ya
kiMUNGU
ulionayo dhidi ya
binadamu
wenzako pamoja na
mamlaka
uliokabidhiwa na Jamuhuri
ya
Muungano wa Tanzania.
Naanguka na kushika
miguu yako
mitukufu muheshimiwa
rais.
Nakuomba msaada
(msamaha)
kwako muheshimiwa
rais, kwa
njia hii ya maandishi
kusudi
niweze kuondolewa
adhabu ya
kifungo cha maisha
gerezani,niliyohukumiwa
na
mahakama tajwa hapo
juu.
Mh.Rais mimi
nimefungwa nikiwa
bado kijana mwenye umri
mdogo,
na ukweli kutoka moyoni
sikufanya kosa hilo. Si
mimi, baba
yangu Nguza wala ndugu
yangu
yeyote aliyefanya
kitendo kile.
Lakini wenye mamlaka
wakatuona tuna hatia na
kuamua
kuteketeza kizazi chetu
gerezani.
Natamani kiama ifike ili
mwenyezi
Mungu aweke wazi
ukweli wote
uliojificha nyuma ya pazia.
Mpaka
sasa natambua wazi
hatima
pamoja na dhamana ya
maisha
yangu ipo katika mikono
yako
mitukufu Mh. Rais
Naomba huruma yako
muheshimiwa Rais
maana mimi ni
mtoto wako ninaehitaji
huruma
yako wewe mzazi. Lakini
pia sisi
ni binadamu wenye nafsi
na miili
kama wengine.
Waliotumia mamlaka yao
kutuweka gerezani nao ni
binadamu pia, wenye miili
na
nafsi. Ipo siku nafsi zetu
zitapaswa kutoa hesabu
ya
tuliyoyafanya hapa
duniani.
wakati huo miili yetu
tunayoitumia
kunyanyasa
wanyonge itakuwa
imeoza
mavumbini.
Natumaini kauli yako ya
mwisho
ndio itakayoleta pumzi ya
uhai
nafsini mwangu.
Nakutakia kazi
njema, afya njema na
maisha
marefu.
Mungu akubariki.
Wako mtiifu
Mfungwa NO:836’04
 
Kosa la kubaka au kulawiti especially mtoto wa umri mdogo lina kunyima haki ya kupata msamaha wa raisi..........makosa mengine ni kama kukutwa na silaha........madawa ya kulevya.......kuua .......etc.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom