POMPO JF-Expert Member Mar 12, 2011 6,690 2,400 Jul 11, 2012 #2 Karibu ndio umeamka? Viroba noma, hii barua ilishkuwa jamvin kijambo
Scofied JF-Expert Member Jun 5, 2012 2,455 1,657 Jul 11, 2012 #3 kabla ya kupost pitia kwanza thread za wengine mkuu...
MAMA POROJO JF-Expert Member Nov 22, 2007 4,974 785 Jul 11, 2012 #4 Ni yale yale tuliyoyaona na kuyasikia tofauti ni moja tu umeambatisha barua ya MAT.
MAMA POROJO JF-Expert Member Nov 22, 2007 4,974 785 Jul 11, 2012 #5 POMPO said: Karibu ndio umeamka? Viroba noma, hii barua ilishkuwa jamvin kijambo Click to expand... kuna watu utafikiri walikufa sasa wamefufuka na kukuta binadamu amepiga hatua mbele. Wapo kama hawapo kumbe wapo. Tukiwapa uongozi taifa nalo litalala usingizi
POMPO said: Karibu ndio umeamka? Viroba noma, hii barua ilishkuwa jamvin kijambo Click to expand... kuna watu utafikiri walikufa sasa wamefufuka na kukuta binadamu amepiga hatua mbele. Wapo kama hawapo kumbe wapo. Tukiwapa uongozi taifa nalo litalala usingizi