Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 455
- Thread starter
- #41
Men you have to mov one with your life. Maana ikiwa kwa mfano ungekuwa umeshafanya mapenzi na yeye ingekuwaje. Usingekuwa unamfeel hata msichana wako utakayekuwa nae. Maisha ni mapito na hayana budi kuwepo ila pambana na hilo then muombe Mungu na mshukuru kwa klililotokea na then muombe akupe mtu atakayeziba pengo la janet then move on brother
mkuu Jannet hakuwa sababu ya yeye kupata HIV, hakuwa mwenye stahi ya kupata HIV, ukweli hakuwahi kumjua mwanamme yeyote yule, she left with her virginity, she was strong enough compared with anyone I met, alikuwa mwepesi kujirudi iwapo alikosea, hakupenda kumuudhi mtu mwenye rika lolote lile ingawa kielimu, kimaisha alikuwa juu sana, alijishusha kulingana na mtu alienae, alijiweka kulingana jinsi dunia inavyokwenda...I LOVED HER for all she was...